Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,744
- 25,447
Lugalo ndio sehemu ambapo maiti hupelekwa kwa ajili ya uchunguzi wa kina.............watu ambao wameuawa kwa "mipango" ya serikali hupelekwa na hata watu maarufu wanaosaidikiwa kuuwa,ndugu wanaweza kuomba wapelekwe Lugalo ama serikali ikashawishi wapelekwe kule.View attachment 1089642
Kwanini ni Lugalo ?
Marehemu RUGE baada ya kufariki huko Afrika Kusini maiti yake ilipowasili nchini baada ya kuagwa pale makao makuu ya Clouds360 ilienda kuhifadhiwa Lugalo?
Marehemu Godzillah baada ya kufariki mwili wake ulihifadhiwa Lugalo?
Marehemu Isaac Gwamba??
Na huyu marehemu Mengi leo hii wanasema mwili wake utawasili na kwenda kuhifadhiwa Lugalo?
Why LUGALO?
Kwani hawazioni hospitali zingine kama
Amana
Mwananyamala
Temeke
Muhimbili
Mloganzila
Why LUGALO???????
Sisi kajamba nani miili yetu huwa ni M'nyamala, lakini mwisho wake wote tunashushwa chini...!!
Hilo jina linatosha maana nipo pekeyanguMr Samwel nani?
Shukrani nimejifunza kitu hapa mkuu.Lugalo ndio sehemu ambapo maiti hupelekwa kwa ajili ya uchunguzi wa kina.............watu ambao wameuawa kwa "mipango" ya serikali hupelekwa na hata watu maarufu wanaosaidikiwa kuuwa,ndugu wanaweza kuomba wapelekwe Lugalo ama serikali ikashawishi wapelekwe kule.
Kwa nini Lugalo?
Kule wafanyakazi wote wa afya sio raia ni wanajeshi.....sasa ile hali ya kutunza privacy....."kufunika mambo"kama kifo kilipangwa na wenyewe serikali e.g Amina Chifupa death,hufanikishwa.....au hata Kama ameuawa ki kawaida ila ni mtu maarufu,usiri unakuwepo kwa kiwango kikubwa.......kumbuka matabibu wengi wanaohusika na huduma hizo ni cardet officers na wengi kuanzia ngazi ya "captain" ,kulingana na mafunzo na viapo vyao ni ngumu kutoa Siri/kuzungumza chochote kuhusiana na uchunguzi............kumbuka hata waandishi wa habari hawana haki ya kudemand habari za jeshi labda waitwe .......tofauti na hospitali za umma.
Mr tena? Sio kamanda?Hata wewe ukitaka utaifadhiwa lugalo iwapo ndugu zako wakipenda, karibu sana mkuu ukifika niulize Mr Samwel
Tena utatafunwa na mchwa tuuu.Uvae bukta.
Uvae suti.
Ukifa utazikwa chini
View attachment 1089642
Kwanini ni Lugalo ?
Marehemu RUGE baada ya kufariki huko Afrika Kusini maiti yake ilipowasili nchini baada ya kuagwa pale makao makuu ya Clouds360 ilienda kuhifadhiwa Lugalo?
Marehemu Godzillah baada ya kufariki mwili wake ulihifadhiwa Lugalo?
Marehemu Isaac Gwamba??
Na huyu marehemu Mengi leo hii wanasema mwili wake utawasili na kwenda kuhifadhiwa Lugalo?
Why LUGALO?
Kwani hawazioni hospitali zingine kama
Amana
Mwananyamala
Temeke
Muhimbili
Mloganzila
Why LUGALO???????
Bado mdogo kijanaMr tena? Sio kamanda?
Uliwezaje kupiga pikView attachment 1089642
Kwanini ni Lugalo ?
Marehemu RUGE baada ya kufariki huko Afrika Kusini maiti yake ilipowasili nchini baada ya kuagwa pale makao makuu ya Clouds360 ilienda kuhifadhiwa Lugalo?
Marehemu Godzillah baada ya kufariki mwili wake ulihifadhiwa Lugalo?
Marehemu Isaac Gwamba??
Na huyu marehemu Mengi leo hii wanasema mwili wake utawasili na kwenda kuhifadhiwa Lugalo?
Why LUGALO?
Kwani hawazioni hospitali zingine kama
Amana
Mwananyamala
Temeke
Muhimbili
Mloganzila
Why LUGALO???????
wangekukamata wakati unapiga picha ungeruka kichura hadi ushangae......
Usilolijua uliza kwanza uambiwe. Usiaminishe watu ujinga. Ulichoongea ni uongo mtupu. Lugalo hospital ni ya jeshi lakini wafanyakazi hata raia wapo tena Specialties. Nenda idara ya macho, nenda ECG, nenda X-ray zipo nyingi tu. Kwa maono yangu na ilivyo ni hivi:Lugalo ndio sehemu ambapo maiti hupelekwa kwa ajili ya uchunguzi wa kina.............watu ambao wameuawa kwa "mipango" ya serikali hupelekwa na hata watu maarufu wanaosaidikiwa kuuwa,ndugu wanaweza kuomba wapelekwe Lugalo ama serikali ikashawishi wapelekwe kule.
Kwa nini Lugalo?
Kule wafanyakazi wote wa afya sio raia ni wanajeshi.....sasa ile hali ya kutunza privacy....."kufunika mambo"kama kifo kilipangwa na wenyewe serikali e.g Amina Chifupa death,hufanikishwa.....au hata Kama ameuawa ki kawaida ila ni mtu maarufu,usiri unakuwepo kwa kiwango kikubwa.......kumbuka matabibu wengi wanaohusika na huduma hizo ni cardet officers na wengi kuanzia ngazi ya "captain" ,kulingana na mafunzo na viapo vyao ni ngumu kutoa Siri/kuzungumza chochote kuhusiana na uchunguzi............kumbuka hata waandishi wa habari hawana haki ya kudemand habari za jeshi labda waitwe .......tofauti na hospitali za umma.
Sasa ebu jiulize, pale Airport tu mwili kubebwa na Folk lift picha zimesambaa mtandaoni, je wakipata picha ya marehemu labda awe na jambo lisilo la kawaida, wataweza kumsitiri!?View attachment 1089642