rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,491
- 41,896
Sasa tatzo ni kusema wafanyakazi wote ni wanajeshi au??? Wewe ndo mjinga maana mtu huwezi kuwa Doctor au mfanyakazi wa jeshi na sio mwanajeshi NEVER...NEVER... Vingine vyote ni kweli japo kuna wataalamu wa postmoterm hata Muhimbili lakini ukitaka Kufanya kazi jeshi lazima uwe Mwanajeshi..Usilolijua uliza kwanza uambiwe. Usiaminishe watu ujinga. Ulichoongea ni uongo mtupu. Lugalo hospital ni ya jeshi lakini wafanyakazi hata raia wapo tena Specialties. Nenda idara ya macho, nenda ECG, nenda X-ray zipo nyingi tu. Kwa maono yangu na ilivyo ni hivi:
Sehemu yeyote duniani ukianzia USA, UK , Russia nk. Hospitali za jeshi ndizo zinakuwa the last resort... For everything na kikubwa ni usalama (security) hata leo Rais akafariki atapelekwa Lugalo. Lugalo ilitakiwa kuwa na hadhi zaidi ya muhimbili ama kuwa sawa Lakini inakuwa zaidi kwa issue ya Security.