Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,744
- 25,438
Kwanini ni Lugalo ?
Marehemu RUGE baada ya kufariki huko Afrika Kusini maiti yake ilipowasili nchini baada ya kuagwa pale makao makuu ya Clouds360 ilienda kuhifadhiwa Lugalo?
Marehemu Godzillah baada ya kufariki mwili wake ulihifadhiwa Lugalo?
Marehemu Isaac Gwamba??
Na huyu marehemu Mengi leo hii wanasema mwili wake utawasili na kwenda kuhifadhiwa Lugalo?
Why LUGALO?
Kwani hawazioni hospitali zingine kama
Amana
Mwananyamala
Temeke
Muhimbili
Mloganzila
Why LUGALO???????