Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,661
- 46,349
Sijawahi kuona miondombinu au majengo ya kuvutia ya kihistoria yaliyosanifiwa na wasanifu majengo (architects) wa Tanzania au kujengwa na civil engineers wabongo.
Nina mashaka pia kwamba barabara nyingi ambazo huwa zinawekwa viraka mara kwa mara na miaka michache tu baada ya kujengwa kwa lami huwa zimejengwa na mainjinia wa barabara wabongo.
Serikali inapokuwa inazungumzia local content kwenye miradi mikubwa si ndio mambo kama haya nayo yanapaswa kuonekana!