Kwanini maheadmaster/ headmistress hawafundishi darasni? ijue sababu

Kwanini maheadmaster/ headmistress hawafundishi darasni? ijue sababu

mimi ni mwalimu na headmaster wetu hafundishi kwa kuwa amesoma uongoz katika masuala ya elmu upo hapo??

Hiyo shule itakuwa siyo ya umma. Wakuu wengi wa shule ( 99.9%) katika shule za umma wanatokana na walimu wenyewe na hapo zamani, kabla ya ujio wa shule za kata, kupata nafasi hiyo lazima mhusika awe amefundisha darasani kwa angalau miaka 12.
 
Jaman kwa walimu mnaotaka kuhama/kubadilishana vituo vya kazi kuna application moja unaweza ukajisajiri ukapata watu wa kubadilishana nao wapo wengi na utapata details zao
Tembelea www.hamafasta.com
Itume kwenye magroup na whatasup inaweza kuwasaidia wengine.
 
Back
Top Bottom