Kwanini Magufuli anafaa kuwa rais wetu

subiray

Member
Sep 21, 2015
92
26
KWANINI DKT MAGUFULI ANAFAA KUWA RAIS WETU.
Uchaguzi wa mwaka huu ingawa unaushindani wa wagombea katika kutaka kuleta mabadiliko na wananchi wakieleza mabadiliko hayo bila kuwa na aina moja ya mabadiliko wanayo yataka ,huku wengine wakitaka mabadiliko ya kiuongozi iliwapate ajira na wengine wakitaka mabadiliko ya kuboreshewa huduma bora za Afya ,Elimu,Maji,Miundombinu,Mazingira bora ya kilimo na masoko ya uhakika wa mazao,Kukomesha ubadhilifu wa mali za umma.
Wapo wengine wanaona mabadiliko kama mchakato wa kuitoa ccm madalakani kwasababu tu kimekaa sana madalakani,bila kujali mbadala wanao udhania kama utakuwa na jipya lolote.

Lakini ni lazima sote tukubaliane na mawazo tofauti,kwasababu ndio sehemu ya ukuaji wa demokrasia,kwahiyo ni vyema na muhimu kuheshimu mawazo ya kila mtu,Lakini mabadiliko haya yanaleta mkanganyiko kutokana na kuto kuwa na aina moja ya aina ya mabadiliko yanayofanana ambayo wananchi wanayataka.

Bila kuficha wala kupepesa macho katika wagombea wote wa urais kila mtu amekuwa akiongelea mabadiliko ,Lakini Mgombea wa urais kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi Dkt Magufuli amekuwa akionyesha na kudhihilisha dhahili bila shaka kuwa hana mdhaa wala hatanii anapozungumzia Tanzania Mpya baada ya kura kupigwa octoba25,mwaka huu.
Dkt John Pombe Magufuli amekuwa akitoa kauli za kuleta tanzania Mpya ukiangalia kauli zake na (body language)cheko na tabasamu,Macho yake yanapo watazama watu wanao msikiliza na viashilia vingine vingi,haviachii chembe ya shaka yeyote kuwa Tanzania inaelekea kupata kiongozi atakae timiza ndoto za wengi

Tukiachilia mbali ushabiki Dkt Magufuli ni aina ya wagombea urais kutoka CCM ambaye hajawahi kutokea tangu Baba wa Taifa ,Mwalimu Julius Nyerere alipokabidhi uongozi wa Nchi kwa Ali Hassan Mwinyi,1985,Mgombea huyu tofauti na wagombea wengine wa urais toka ndani ya CCM ambao wameisha wahi kuwa marais ,Dkt Magufuli hakubebwa na mtu yeyote ,hazikutumika fedha wala ufedhuli kumfikisha alipofika,hakuna kundi liwe la wazee,wanawake,vijana lililo mbeba, hakuandaa wajumbe wa kamati kuu,Nec au mkutano Mkuu kumchagua.

Dkt Magufuli hakuwa na makundi (data base) ya makatibu na wenyeviti wa mikoa ya CCM hakuwa na wenyeviti wa wilaya na makatibu wao,Kwahiyo Mtu ambaye aliyefanya uamuzi wa kuomba ridhaa ya kuwatumikia watanzania akiwa na akili, moyo na mikono safi, kwahiyo hakuna mjanja yeyote kutoka nje na ndani ya CCM ambaye anaweza kusema kwamba amehusika kwa njia moja au nyingine kumfikisha mgombea huyu hapa alipofika leo hii, kwahiyo hata anapozungumzia nia ya kuleta mabadiliko ya kweli anamaanisha anachokisema ,kwasababu hakuna mtu anayeweza kumshika bega na kumwambia , kaka usinisahau nilikusaidia, Hivyo kwa mara ya kwanza nje na ndani ya CCM ambaye anaweza kuvaa suti na kuendelea kunywa mvinyo akisubiri kuteuliwa,Pia Hakuna Mfanyabiashara au wafanyabiashara ambao kama atashinda watafanya sherehe wakiamini sasa mambo yao yatanyooka na wataendelea kukwepa kodi.

Kutokana na ukweli huo hakuna shaka yoyote kuwa ule utaratibu ambao umekuwa mazoea Tanzania kwa watu kuendesha nchi kiushikaji sasa umefika mwisho,hakuta kuwa na viongozi wanaoteuliwa kwa kujuana ,Bali tutakuwa na viongozi watakao teuliwa kwa sifa,uwezo na uadilifu.
Dkt Magufuli ni tofauti na wanasiasa wengine iwe ndani CCM pia hata nje ya CCM kwani Magufuli ni mtendaji na siyo mwanasiasa Tanzania yetu inahitaji mtu makini, mwadilifu,mweuwezo na mchapa kazi ,Kwa sifa hizo na stori fupi ya Dkt Magufuli kuwa kwanini anafaa kuwa rais wa nchi yetu ,Mtanzania usifanye makosa,Magufuli anatufaa na anatosha kuwa rais
TANZANIA OYEE
MAGUFULI OYEE

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
MUNGU IBARIKI AFRIKA.
#MsemaKweli
 
ni vyema mdada umepost maana umefikiria mbali big up maana nchi hii anataka apewe mwizi na kikundi chake katu abadan hatutakubali
 
Kwanza ni muadilifu,mchapa kazi.mzalendo na mpambanaji dhidi ya rushwa huyu ndie magufulii anaefahamika na wa tz
 
Magufuli hanyimwi kura kwa sababu eti hafai... Anafaa sana!!
Tatizo letu sisi ni ccm.... Tunataka mabadiliko nje ya ccm...!!

Magufuli peke yake hawezi kuibadili ccm alafu aibadili Tanzania...!!
Shor cut ya mabadiliko ni kuiondoa ccm madarakani... Magufuli atafaa sana kuirekebisha ccm kikiwa hakipo madarakani..!!
 
KWANINI DKT MAGUFULI ANAFAA KUWA RAIS WETU.
Uchaguzi wa mwaka huu ingawa unaushindani wa wagombea katika kutaka kuleta mabadiliko na wananchi wakieleza mabadiliko hayo bila kuwa na aina moja ya mabadiliko wanayo yataka ,huku wengine wakitaka mabadiliko ya kiuongozi iliwapate ajira na wengine wakitaka mabadiliko ya kuboreshewa huduma bora za Afya ,Elimu,Maji,Miundombinu,Mazingira bora ya kilimo na masoko ya uhakika wa mazao,Kukomesha ubadhilifu wa mali za umma.
Wapo wengine wanaona mabadiliko kama mchakato wa kuitoa ccm madalakani kwasababu tu kimekaa sana madalakani,bila kujali mbadala wanao udhania kama utakuwa na jipya lolote.

Lakini ni lazima sote tukubaliane na mawazo tofauti,

Makufuli Ni Waziri Labda Wa Chato! Sijapata Kuona Ngombea Wa Hovyo! Kama Huyu!
 
KWANINI DKT MAGUFULI ANAFAA KUWA RAIS WETU.
Uchaguzi wa mwaka huu ingawa unaushindani wa wagombea katika kutaka kuleta mabadiliko na wananchi wakieleza mabadiliko hayo bila kuwa na aina moja ya mabadiliko wanayo yataka ,huku wengine wakitaka mabadiliko ya kiuongozi iliwapate ajira na wengine wakitaka mabadiliko ya kuboreshewa huduma bora za Afya ,Elimu,Maji,Miundombinu,Mazingira bora ya kilimo na masoko ya uhakika wa mazao,Kukomesha ubadhilifu wa mali za umma.
Wapo wengine wanaona mabadiliko kama mchakato wa kuitoa ccm madalakani kwasababu tu kimekaa sana madalakani,bila kujali mbadala wanao udhania kama utakuwa na jipya lolote.

Lakini ni lazima sote tukubaliane na mawazo tofauti,kwasababu ndio sehemu ya ukuaji wa demokrasia,kwahiyo ni vyema na muhimu kuheshimu mawazo ya kila mtu,Lakini mabadiliko haya yanaleta mkanganyiko kutokana na kuto kuwa na aina moja ya aina ya mabadiliko yanayofanana ambayo wananchi wanayataka.

Bila kuficha wala kupepesa macho katika wagombea wote wa urais kila mtu amekuwa akiongelea mabadiliko ,Lakini Mgombea wa urais kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi Dkt Magufuli amekuwa akionyesha na kudhihilisha dhahili bila shaka kuwa hana mdhaa wala hatanii anapozungumzia Tanzania Mpya baada ya kura kupigwa octoba25,mwaka huu.
Dkt John Pombe Magufuli amekuwa akitoa kauli za kuleta tanzania Mpya ukiangalia kauli zake na (body language)cheko na tabasamu,Macho yake yanapo watazama watu wanao msikiliza na viashilia vingine vingi,haviachii chembe ya shaka yeyote kuwa Tanzania inaelekea kupata kiongozi atakae timiza ndoto za wengi

Tukiachilia mbali ushabiki Dkt Magufuli ni aina ya wagombea urais kutoka CCM ambaye hajawahi kutokea tangu Baba wa Taifa ,Mwalimu Julius Nyerere alipokabidhi uongozi wa Nchi kwa Ali Hassan Mwinyi,1985,Mgombea huyu tofauti na wagombea wengine wa urais toka ndani ya CCM ambao wameisha wahi kuwa marais ,Dkt Magufuli hakubebwa na mtu yeyote ,hazikutumika fedha wala ufedhuli kumfikisha alipofika,hakuna kundi liwe la wazee,wanawake,vijana lililo mbeba, hakuandaa wajumbe wa kamati kuu,Nec au mkutano Mkuu kumchagua.

Dkt Magufuli hakuwa na makundi (data base) ya makatibu na wenyeviti wa mikoa ya CCM hakuwa na wenyeviti wa wilaya na makatibu wao,Kwahiyo Mtu ambaye aliyefanya uamuzi wa kuomba ridhaa ya kuwatumikia watanzania akiwa na akili, moyo na mikono safi, kwahiyo hakuna mjanja yeyote kutoka nje na ndani ya CCM ambaye anaweza kusema kwamba amehusika kwa njia moja au nyingine kumfikisha mgombea huyu hapa alipofika leo hii, kwahiyo hata anapozungumzia nia ya kuleta mabadiliko ya kweli anamaanisha anachokisema ,kwasababu hakuna mtu anayeweza kumshika bega na kumwambia , kaka usinisahau nilikusaidia, Hivyo kwa mara ya kwanza nje na ndani ya CCM ambaye anaweza kuvaa suti na kuendelea kunywa mvinyo akisubiri kuteuliwa,Pia Hakuna Mfanyabiashara au wafanyabiashara ambao kama atashinda watafanya sherehe wakiamini sasa mambo yao yatanyooka na wataendelea kukwepa kodi.

Kutokana na ukweli huo hakuna shaka yoyote kuwa ule utaratibu ambao umekuwa mazoea Tanzania kwa watu kuendesha nchi kiushikaji sasa umefika mwisho,hakuta kuwa na viongozi wanaoteuliwa kwa kujuana ,Bali tutakuwa na viongozi watakao teuliwa kwa sifa,uwezo na uadilifu.
Dkt Magufuli ni tofauti na wanasiasa wengine iwe ndani CCM pia hata nje ya CCM kwani Magufuli ni mtendaji na siyo mwanasiasa Tanzania yetu inahitaji mtu makini, mwadilifu,mweuwezo na mchapa kazi ,Kwa sifa hizo na stori fupi ya Dkt Magufuli kuwa kwanini anafaa kuwa rais wa nchi yetu ,Mtanzania usifanye makosa,Magufuli anatufaa na anatosha kuwa rais
TANZANIA OYEE
MAGUFULI OYEE

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
MUNGU IBARIKI AFRIKA.
#MsemaKweli

Dah!...nina sikitika kukwambia Kuwa KUNA MTU WA KARIBU SANA NA MTOTO WA MAGUFULI(SITOWEZA KUMTAJA JINA HAPA)...MTU HUYO NI RAFIKI YANGU WA KIOFISI TU NA ALIWAHI KUTANA NA HUYO MWANAYE KWENYE PROJECT FULANI NA ALICHOAMBIWA NA HUYO MTOTO WA MGOMBEA WAKO KINASIKITISHA SANA,HUYO MTOTO WA MAGU. ALIMWAMBIA JAMAA KWENYE MAONGEZI YAO KUWA "MIMI MWENYEWE SITOMPA KURA BABA ATA SIKU MOJA NA WATU WENGI HAWAMJUI BABA ALIVYO YANI NI MKATILI NA MKOROFI KULIKO VILE MNAVYOMUONA KWENYE TV HAAMBIWI NA HASHAURIKI KABISA NA MKIJILOGA MKAMPA NCHI MUMEKWISHA" ISHU HII NIMEIPATA KUPITIA HUYO JAMAA YANGU...SASA NIKASEMA KAMA HALI YENYEWE NDO HII KUNA NINI TENA KWA HUYO MAGU. WENU???
 
Magufuli hanyimwi kura kwa sababu eti hafai... Anafaa sana!!
Tatizo letu sisi ni ccm.... Tunataka mabadiliko nje ya ccm...!!

Magufuli peke yake hawezi kuibadili ccm alafu aibadili Tanzania...!!
Shor cut ya mabadiliko ni kuiondoa ccm madarakani... Magufuli atafaa sana kuirekebisha ccm kikiwa hakipo madarakani..!!
Ukiiondoa CCM madarakani unaweka chama gani?
 
Magufuli n jembe anayebisha, anaweza bisha akiambiwa atakuwa hayuko sawa kichwan
 
dah!...nina sikitika kukwambia kuwa kuna mtu wa karibu sana na mtoto wa magufuli(sitoweza kumtaja jina hapa)...mtu huyo ni rafiki yangu wa kiofisi tu na aliwahi kutana na huyo mwanaye kwenye project fulani na alichoambiwa na huyo mtoto wa mgombea wako kinasikitisha sana,huyo mtoto wa magu. Alimwambia jamaa kwenye maongezi yao kuwa "mimi mwenyewe sitompa kura baba ata siku moja na watu wengi hawamjui baba alivyo yani ni mkatili na mkorofi kuliko vile mnavyomuona kwenye tv haambiwi na hashauriki kabisa na mkijiloga mkampa nchi mumekwisha" ishu hii nimeipata kupitia huyo jamaa yangu...sasa nikasema kama hali yenyewe ndo hii kuna nini tena kwa huyo magu. Wenu???

nasikia aliwahi kumpiga mkewe akamtia kilema cha mkono wa kulia na kumuumiza mdomo,na ukimchunguza mama magufuli hawezi kabisa kunyanyua mkono wa kulia na huwa anasalimia na mkono wa kushoto,pia ana kovu chini ya mdomo.
 
Jamaa yao ana kimavi tokea 1995 mpaka leo anausaka urais na hajawahi hata kufika 3 bora ..lwassa ana kimavi.
 
nasikia aliwahi kumpiga mkewe akamtia kilema cha mkono wa kulia na kumuumiza mdomo,na ukimchunguza mama magufuli hawezi kabisa kunyanyua mkono wa kulia na huwa anasalimia na mkono wa kushoto,pia ana kovu chini ya mdomo.

Hilo sijalipata bado ila inawezekana NALO ALIFANYA,JAMAA HAFAI YULE!
 
Hii nchi kwa sasa inamuhitaji kiongozi wa aina ya JPM, kwa sasa ndo suluhisho la matatizo ya TZ
 
Back
Top Bottom