Kamati ya maadili ndani ya ccm haikukosea kumleta magufuli
Hii nchi kwa sasa inamuhitaji kiongozi wa aina ya JPM, kwa sasa ndo suluhisho la matatizo ya TZ
nasikia aliwahi kumpiga mkewe akamtia kilema cha mkono wa kulia na kumuumiza mdomo,na ukimchunguza mama magufuli hawezi kabisa kunyanyua mkono wa kulia na huwa anasalimia na mkono wa kushoto,pia ana kovu chini ya mdomo.