I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,730
- 10,033
Miaka ya hivi karibuni kumeibuka kwa wimbi kubwa sana la vijana na watoto kuandamwa na matatizi ya maumivu ya migongo na uti wa mgongo, ingawa maradhi haya yanatibika ila imekuwa tofauti kidogo kwa baadhi yao kwani wengine hupelekea hata ulemavu iwe wa muda au kudumu.
Ni jambo la kuhuzunisha; wengi wao wanapoteza ndoto zao za kimaisha na hata kukata tamaa.
Tofauti na zamani hali hii ilikuwa zaidi kwa watu wazima na wazee. Ni nini sababu inayopelekea jambo hili kwa sasa?