rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,439
Najiuliza juhudi zinazofanywa na huyu Waziri kwanini zipuuzwe kiasi hiki? Katika magazeti yote ni habari leo peke yake limekuja na habari ya kufungia wafanyakazi nje saa moja na nusu asubuhi.
Kigwangala na ajifunze sasa kupuuzwa huku sio bure,najiuliza hizo kamera anazoenda nazo huko site zimekuwa zimeandaliwa au ni waandishi wanamsubiri getini asubuhi.
Waziri aache kuingilia kazi za watu walio chini yake,ampe jukumu HR ni majukumu yake