wapga mzigo akna magufuli enz zao walkuwa wanapga mzgo bla matangazo lakn waljulikana huyu mwehu anabeba wanahabari anaenda nao site hahaaaa ujana maji ya moto
Hivi we mwanamke ni lini utaacha uongo?Najiuliza juhudi zinazofanywa na huyu Waziri kwanini zipuuzwe kiasi hiki? Katika magazeti yote ni habari leo peke yake limekuja na habari ya kufungia wafanyakazi nje saa moja na nusu asubuhi.
Kigwangala na ajifunze sasa kupuuzwa huku sio bure,najiuliza hizo kamera anazoenda nazo huko site zimekuwa zimeandaliwa au ni waandishi wanamsubiri getini asubuhi.
Waziri aache kuingilia kazi za watu walio chini yake,ampe jukumu HR ni majukumu yake
Najiuliza juhudi zinazofanywa na huyu Waziri kwanini zipuuzwe kiasi hiki? Katika magazeti yote ni habari leo peke yake limekuja na habari ya kufungia wafanyakazi nje saa moja na nusu asubuhi.

Dada ngoja ufike wakati wako wa kujifungua alafu uende hospital ukakute hamna daktari ndo utajua umuhimu wa alichofanya Kigwangala,,,, hii nchi inasikitisha sana kuona uchama umetugawa kiasi kwamba anachofanya mpinzani wako hata kama ni shaihi unaona si sahihi!
Kumbe hawa wafanyakazi wanafanya watakayo huko maofisini wakijua Mitanzania ni mijinga, haitafanya lolote, na mtu akitokea kujaribu kuwaweka sawa, watatetewa na Mitanzania hiihii inayolalamikia huduma mbovu!
Ili tujue Kama kakosea kwani wafanyakazi wa serikalini wansingia mda gani kazini na kutoka ni mda gani kisheria?.
Hii taarifa ni vyema ikatoka kwenye magazeti ya udaku. Inawezekana hata usingizi hakupata kwa sababu kya kuwahi getini. Waziri kusimama getini unakagua nani yupo na hayupo. Naona sasa hata vyeo vyenyewe tunaviaibisha!Najiuliza juhudi zinazofanywa na huyu Waziri kwanini zipuuzwe kiasi hiki? Katika magazeti yote ni habari leo peke yake limekuja na habari ya kufungia wafanyakazi nje saa moja na nusu asubuhi.
Kigwangala na ajifunze sasa kupuuzwa huku sio bure,najiuliza hizo kamera anazoenda nazo huko site zimekuwa zimeandaliwa au ni waandishi wanamsubiri getini asubuhi.
Waziri aache kuingilia kazi za watu walio chini yake,ampe jukumu HR ni majukumu yake
Kama kuchelewa kazini ni tatizo basi abuni mfumo wa kuwafanya watu wawahi kazini nchi nzima katika hospitali zote.Sio kufanya ukorokokoroni ili apata umaarafu katika vyombo vya habari.