Kwanini maeneo mengi ambayo CCM ina nguvu ndio yanayoongoza kwa umasikini?

Aisee wewe kweli ni mwana Karagwe maana naona vichochoro vyote unavyo kwenye kiganja.

Naona Karagwe ndiyo wilaya ina changamoto nyingi kidogo.
Hapo mkuu bado Sijazungumzia wakulima wa kahawa kutapeliwa hela na kile chama chao cha ushirika pale kayanga
Sijagusa kuhusu migomba kufa kwa ugonjwa wa mnyauko lakini hata hawajapiga kelele wataalamu waende kwa ajili ya utafiti
Sijasema ule mgodi wa Tin kule kyerwa mgodi ambao haujanufaisha wananchi
Bado sijasema kwamba lile bwawa la nkwenda wameshindwa kufuga hata samaki
Nimekaa kimya kuhusu hifadhi ya rumanyika na ya kule murongo

Kusema.ukweli.ile.karagwe kama sio Bagonza na KKKT yake isingetofautiana na kigoma
 
Kwa mfano mbunge wa Nkenge siku Magufulii amefariki alilia kama mtoto ndogo kisa alikuwa amemuahidi kumpatia cheo cha uwaziri.

Unategemea mbunge kama huyo ataikemea serikali?
Wabunge wa Tanzania wengi wako hivo wanajipendekeza kwa staili anayokuja nayo kiongozi wa wakati huo
 
Nipo nachingwea
Kumbe upo sehemu ambayo bei ya chumvi na wanawake wanaojiuza ipo chini kuliko mahitaji muhimu ya binadamu hebu kaa kwa kutulia bro

Bei ya unga kilo huko unapata malaya na unapiga bao 3 saaafi kabisa
 
Hilo tisa njoo kwa Bashungwa sasa baada ya wana Karagwe kumkataa Blandes (mjumbe wa bosi ya chuo kikuu ardhi) Jiwe mwaka 2015 akiwa uwanja wa kayanga alipopiga push up aliwaahidi wakimchagua Bashungwa atampa wizara baadae akawa naibu waziri wa viwanda na biashara kama sijakosea baadae akampa uwaziri sanaa na michezo
 
Umeonaeee?
Unategemea waziri kama huyo atawezaje kuibana serikali ?

Washa fungwa midomo hao tayari.
 
Serikali Ina idara zote kila wilaya na maafisa usalama wanaokusanya taarifa za kila kitu,serikali inajua nini kinatakiwa wapi,mbunge hata abweke vipi,Kama serikali Haina mpango na anachobweka atabaki kuwa mpiga kelele tu
Wabunge woote wa ccm wamefungwa kidhibiti mwendo
 
Hapo mkuu bado Sijazungumzia wakulima wa kahawa kutapeliwa hela na kile chama chao cha ushirika pale kayanga
Sijagusa kuhusu migomba kufa kwa ugonjwa wa mnyauko lakini hata hawajapiga kelele wataalamu waende kwa ajili ya utafiti
Sijasema ule mgodi wa Tin kule kyerwa mgodi ambao haujanufaisha wananchi
Bado sijasema kwamba lile bwawa la nkwenda wameshindwa kufuga hata samaki
Nimekaa kimya kuhusu hifadhi ya rumanyika na ya kule murongo

Kusema.ukweli.ile.karagwe kama sio Bagonza na KKKT yake isingetofautiana na kigoma
Aisee kumbe askofu Bagonza ni wa karagwe?
 
Wabunge wa Tanzania wengi wako hivo wanajipendekeza kwa staili anayokuja nayo kiongozi wa wakati huo
Kwa bunge hili tulilo nalo la chama kimoja tusitegemee kuwa na bunge lenye uwezo wa kuikemea serikali hata siku moja.
 
Kumbe upo sehemu ambayo bei ya chumvi na wanawake wanaojiuza ipo chini kuliko mahitaji muhimu ya binadamu hebu kaa kwa kutulia bro

Bei ya unga kilo huko unapata malaya na unapiga bao 3 saaafi kabisa
Umempatia haki yake na ushamba wake.

Watu kama hao wa kutoka huko chimbo ndiyo huwaambii chochote kwa ccm.

Kwao shida ni moja ya maisha yao ya kila siku.
 
Jibu ni rahisi sana. Rais wa awamu ya 5 alikuwa akijiita ni Rais wa raia Masikini. Aliwahi kusema matajiri wataishi kama mashetani.

Mtaji wa CCM ni umasikini. Hebu fikiria mtu mzima kupewa rushwa ya kofia, tisheti na khanga kisha kufurahia, kwakuwa hajawahi kufunga khanga ktk maisha yake yote zaidi ya kaniki.
 
Kumbe upo sehemu ambayo bei ya chumvi na wanawake wanaojiuza ipo chini kuliko mahitaji muhimu ya binadamu hebu kaa kwa kutulia bro

Bei ya unga kilo huko unapata malaya na unapiga bao 3 saaafi kabisa
Inahusiana nini na mada!!?
 
Back
Top Bottom