kwanini mademu wanasikia kiu

Mwadui

Senior Member
Dec 17, 2010
102
2
wapendwa wa Jf hongereni kwa mapumziko ya sikukuu ya mapinduzi, ila nina jambo naomba nilifikishe kwnu ili nipate ufafanuzi. kwanini mkiwa mnafanya mapendo (sex)mademu wanasikia kiu ya maji??? na baada ya kupiiz mwanaume anasikia usingizi???
 
Hapo tunahitaji uthibitisho,labda experience yako ni kwa walevi! who knows?
 
muulize mkeo kwanni anackia kiu..................na mkeo akuulize kwanni unasikia usingizi.
 
Wewe unampa demu wako viazi vitamu bila hata juice ya kijoti,akimaliza kula unakamua halafu unakuja kuuliza hapa.
 
Mwili wa mwanaume unabadilika baada ya tendo la ndoa. during sex and after climax depletes the muscles of energy-producing glycogen, which leads to sleepiness. Since men have more muscle mass than women, they're generally sleepier after sex. wamawake kuhisi kiu baada ya sex ni kwamba; katika tendo la ndoa mwili wote unakuwa umebadilika kutokana na hormones. nisawa na anae kimbia mbio za kupokezana vijiti. baada ya hapo lazima maji ndio yanatuliza.
 
Ina logic mkuu ...
 
Wewe unampa demu wako viazi vitamu bila hata juice ya kijoti,akimaliza kula unakamua halafu unakuja kuuliza hapa.

Mweh mbavu zangu mie, kumbe ndio chanzo cha tatizo, na we shosti kumbe mgunduzi ee
 
kufanya ngono bao moja ni sawa na kukimbia haraka mita 500 so lazima usikie kiu na kwa kuwa wengi mnafanya usiku kipindi cha kulala ndio mana mnasinzia ukifanya cha asubuhi mbona hamsinzii?
 
Wewe unampa demu wako viazi vitamu bila hata juice ya kijoti,akimaliza kula unakamua halafu unakuja kuuliza hapa.
shosti nimelipenda jibu lako.....Mtu anapouliza upuuzi mpe jibu la kipuuzi ila usiwe kama MAKAMBA utoe jibu la kipuuzi kwa swali valid.
 
Teh teh teh! kweli JF inaburudisha sana mh sina mbavu kwa kucheka mpaka watoto wananishangaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom