tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 20,092
- 25,400
Basi uzi ufungweUsichojua ni kwamba Yanga anaenda kuingia makundi kwa mara ya kwanza toka 1998 wakati Simba imeisha zoea sasa kuingia makundi.... imagine hujawahi kwenda ulaya unafikiri mchecheto wako utakua sawa na anaye enda kila mwaka.