GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,044
- 119,619
Ni Nadra Sana Hasa Katika Ofisi Zetu Hizi Kumwona Bosi Mkuu Akienda Kujisaidia HAJA KUBWA au Kutumia Choo Cha Ofisini Na Ambacho Ni Cha Public Kujisaidia HAJA KUBWA Na Badala Yake Bosi Huyo Yuko Radhi Ahifadhi " Ends Products " Zake Hadi Akirudi Kwake au Aende Kwingine?