Kwanini mabinti weupe wa Kisukuma ni dili?

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
2,567
Reaction score
419
Jamani wasukuma kwanini mabinti weupe mnawageuza dili la kupatia pesa? Yaani mzee akiwa na mabinti wawili moja mweupe na mwingine mweusi, akiwaozesha basi binti mweupe mahari yake itakua milioni 4 na yule mweusi itakua laki 3 tu.

Kwanini wasukuma?
 
Mwanamke mweupe anaraha yake,nitakuja baadae kuwaeleza kwanini tunawapenda hawa weupe,
 
Jamani wasukuma kwanini mabinti weupe mnawageuza dili la kupatia pesa? Yaani mzee akiwa na mabinti wawili moja mweupe na mwingine mweusi, akiwaozesha basi binti mweupe mahari yake itakua milioni 4 na yule mweusi itakua laki 3 tu.

Kwanini wasukuma?

Kwa sababu weupe wana kiburi sana na dharau juu ndo maana mahari yao iko juu ili kuwadiscourage wanaotaka kuwaoa ili kupunguza idadi wa weupe. Lakini kutokana na watu kutaka ujiko zaidi kwa kujionesha anazo jemba nyingi hukumbilia hawa cheupe ili zitoe mahari nyingi na kuonekana wanazo kwa jamii
 
Nmh haya mambo bado yapo mpaka awamu hii ya tingatinga?
 
Mlio usukumani naombeni plz mnitafutie mke uko usukumani aje tusaidiane kulima mpunga maana nasikia wana nguvu.
 
Mi nimeoa mwanamke white wa kisukuma ni mbabe balaa. Anajiona quin ila nampenda kwakuwa ni mpenda maendeleo hakunaga!
 
Kwa sababu weupe wana kiburi sana na dharau juu ndo maana mahari yao iko juu ili kuwadiscourage wanaotaka kuwaoa ili kupunguza idadi wa weupe. Lakini kutokana na watu kutaka ujiko zaidi kwa kujionesha anazo jemba nyingi hukumbilia hawa cheupe ili zitoe mahari nyingi na kuonekana wanazo kwa jamii

mkuu kwa hiyo ukiwa nae mweupe unaitwa mjanja wa kijiji?
 
Back
Top Bottom