Riziki Magembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 886
- 206
Wana jamvi tanga ni mkoa maarufu unao sifika kuwa na mabinti bora kwa tabia na mapenzi,je kuna ukweli wa jambo hili?
Yani mpaka huwa naogopa kusema natokea huko ni kero isee.
Siku hizi hizo sifa za Tanga zimeahamia MOSHi.