Kwanini mabinti wa kitanga wanagombaniwa?

Kwanini mabinti wa kitanga wanagombaniwa?

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,746
Reaction score
25,638
f67180af1ec70bf5624ddde63dc13d32.jpg


Jamani hivi Tanga kunani?

Toka nimekua na kubalehe nasikia tu kuwa ukipata mwanamke wa kitanga haujinasui na wengine wanasema eti mwanaume ukienda Tanga hauwezi rudi siku hiyo hiyo lazima ulale.

Najiuliza hivi mabinti wa kitanga wana nini ?

Huku mtaani kwetu wanagombaniwa kama njungu.

Tufahamisheni jamani wanaojua
 
f67180af1ec70bf5624ddde63dc13d32.jpg


Jamani hivi Tanga Kunani?
Toka Nimekua na Kubalehe nasikia tu kuwa ukipata Mwanamke wa Kitanga Haujinasui na wengine wanasema eti Mwanaume Ukienda Tanga Hauwezi rudi Siku hiyo hiyo lazima ulale ...Najiuliza Hivi Mabinti wa Kitanga wana nini ?
Huku Mtaani kwetu wanagombaniwa kama Njungu.....

Tufahamisheni jamani Wanaojua
Ukiona mazao yanapendeza ujue mbolea ipo ya kutosha
 
Mdogo wangu usithubutu kukutana nao utafunja mahusiano yako ya nyuma
 
nyie mnaosema hata wachaga siku hizi wanaweza na wakurya bado hawataweza kuwafikia Kwa viwango wanawake wa kitanga! unajua Kwa nini?
Ngoja nifafanue;
 
Wanawake wa kitanga uzuri wao wamejaliwa kuweza kuwa na sifa zenye uwiano sawia Kwa vile vigezo vya wastani ambavyo wanaume wengi hupenda mwanamke awe navyo!
Miongoni mwa vigezo hivyo ni pamoja na ufundi ktk 6*6 , mapishi mazuri ya vyakula vyenye radha nzuri, kauli njema, adabu, kujua kumstahi mwanaume, heshima, ukaribu Kwa wageni/ndugu wa Mume , wanawake wa kitanga hawanaga choyo!
Ukija Kwenye usafi vivyo hivyo mashallah wako vizuri!
Mavazi ya heshima ndo usiseme!
Mwanaume utake nini tena?!
Uaminifu pia wanao Kwenye mahusiano Kwa wastani siyo Kama wengine mfano wamakonde na wale wapenda ngoma kila mara !
 
Nijuavyo Mimi Kwa uzoefu wangu binafsi mwanaume anatarajia mambo makubwa matatu toka Kwa mkewe;
1. Kwenye mambo ya 6* 6 yaende vizuri bila vikwazo
2. Apikiwe Chakula kizuri Kwa wakati na usafi
3. Kauli njema na heshima toka Kwa Mkewe
Na mengineyo Sasa yatafuata!
 
Kuna baadhi ya wanawake wa makabila flani wamejaa choyo, mwanaume ukioa hao nduguzako nyumbani pako hawata pajua!
Wanawake wengine wanaenda mbali zaidi unakuta Hata mama wakwe zao hawawapendi kabisa, wako radhi wakija Kwa mtoto wao usiku wampeleke quest house/hotel ya Karibu akalale huko
Mimi nashindwa kuelewa sijui ni ulimbukeni au ni nini?
Kuna watu Manunda jamani?!
Wewe hujui huyo Mumeo alivyokuwa mdogo aliumwa nini, mama Yake alivyohangaika nae, wengine wamesomeshwa na mama zao Kwa kuoza Pombe haramu za gongo, mama Yake alikuwa akikimbizana na Askari asikatwe maskini ya Mungu, leo Wewe amekuoa humtaki mama Yake ?
Hata akitumiwa hela ya matumizi unanuna!
 
Back
Top Bottom