Kwanini mabinti katika mahusiano hawasalimii Shkamoo?

Kwanini mabinti katika mahusiano hawasalimii Shkamoo?

I am just imagining 'Shikamoo babe'..!!😂😂😂
 
Dah mi kuamkiwa na mwanamke wangu sitaki,genye si zitakata sasa...endeleeni kuamkiana huko vijijini,kwanza hii salamu ya shikamoo imekuwa chakavu sana kiukweli..
 
Unapomtongoza au kumtamkia binti maneno ya mapenzi binti mdogo, unakuwa umeupunguza umri wako kufikia wa huyo binti hivyo mnakuwa sawa, hapo hakuna shikamoo tena
...Kuna hospital moja nilienda kwa kazi maalum ya about miezi 3. Sasa kuna ka nesi ka kimeru kakawa kananiamkia vzr kabisaa, Shikamoo baba!! Ki umri kako around 20-24. Nilikuwa naitikia kwa bashasha na hili besi langu!

Sasa juzi juzi kakakosea kunituma picha ake ya kanga kochini, nikakatania I love u!! Mpaka leo hakaniamkii, ni mwendo wa mambo? Nambie? N.K. Sasa na udingi huu najisikia vibaya!!

Je, kwa nn shikamoo huondoka kipindi unapomtokea binti? Au kwa nn ukimuoa hata kama alikuwa anakuamkia uchumbani shikamoo inapotea ndoani??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani tunapenda tuwasalimie ila mazingira some times hayaruhusu labda tuwasalimie chumbani.

Mfano,mwanamke umetoka zako job au sehemu yeyote, unakuta baba na watoto seblen , watoto wote shikamoo mama,

Sasa wewe mama utaanzaje kumsalimia Mme eti shikamoo😀😀😀😀
Njia nzuri ni kumbusu mmeo ukatoka ila Nayo sio nzuri mbele sa watoto, maana naona wataanza kubusiana, inachanganya.
 
Back
Top Bottom