Kwanini mabinti katika mahusiano hawasalimii Shkamoo?

Kwanini mabinti katika mahusiano hawasalimii Shkamoo?

Ukishamvulia mtu nguo hata kama umemzidi miaka 20 swala la heshima halipo, ni swala la kuchagua tu heshima au kulidhisha tamaa za kimwili. Utakalochagua ukubali kila linalokuja nalo , binafsi niliwahi shuhudia chuoni mhadhiri watoto wa kike wakimdharau sana baada ya kudadisi kidogo nikagundua aliwatongoza sana hao mabinti na wakawa wanahadithiana na ndo dharau zilipo anza
 
...Kuna hospital moja nilienda kwa kazi maalum ya about miezi 3. Sasa kuna ka nesi ka kimeru kakawa kananiamkia vzr kabisaa, Shikamoo baba!! Ki umri kako around 20-24. Nilikuwa naitikia kwa bashasha na hili besi langu!

Sasa juzi juzi kakakosea kunituma picha ake ya kanga kochini, nikakatania I love u!! Mpaka leo hakaniamkii, ni mwendo wa mambo? Nambie? N.K. Sasa na udingi huu najisikia vibaya!!

Je, kwa nn shikamoo huondoka kipindi unapomtokea binti? Au kwa nn ukimuoa hata kama alikuwa anakuamkia uchumbani shikamoo inapotea ndoani??

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshapotea mkuu.....naomba namba yake ili aniamkie mimi mkuu
 
Mke lazima akuamkie tena nilimzoeza hivo mwanzonj mwa ndoa yetu akiwa bado hata hatujapata hata mtoto 1 asikuamkie ww akamkie nani. Sasa hao wengine hana. Haja. Ya. Kukuamkia. Maana kumtongoza maana yake umemuona mnalingana ila mimi nilimsambia we mdogo kwangu na. Ilikuwa unaniamkia endelea kuniamkia. Sasa kutokana na ninavo kapatia dozi kenyewe kana nikubali mbona kananiamkia tu.. Ila mwanzo kalistisha.

(Pambana na hali yako) ..# Kwetu Mwanza Nyegezi#

Tekno bwana....nukta nje nje
 
Ukishamvulia mtu nguo hata kama umemzidi miaka 20 swala la heshima halipo, ni swala la kuchagua tu heshima au kulidhisha tamaa za kimwili. Utakalochagua ukubali kila linalokuja nalo , binafsi niliwahi shuhudia chuoni mhadhiri watoto wa kike wakimdharau sana baada ya kudadisi kidogo nikagundua aliwatongoza sana hao mabinti na wakawa wanahadithiana na ndo dharau zilipo anza
mkuu unanitisha maana hali inakoelekea sielewi #wengine shikamo ni za kutengenezea mazingira sasa ukiwaacha unadhani inakuwajeh mkuu!
 
Hebu weka hiyo picha kwanza ,tuone kama ni kweli unamaanisha...
 
Back
Top Bottom