Kwanini Mabele Marando yuko CHADEMA?

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,836
Mimi ni mwananchi wa Tanzania ninataka kujua sababu za Marando kupokelewa CHADEMA. Hivi tuseme viongozi wa CHADEMA hawako makini? maana huyu mtu alikuwa NCCR na akasadikika kuwa ni shushu wa CCM, na wengi wa viongozi wa CHADEMA walisema hilo.

Mimi ninataka kuelewa kwann Marando yuko CHADEMA na amepewa nyazifa za juu?
 
Usijali Nchi hii wananchi wote ni shushushu, kwa hiyo siyo isue kama atatumia utaalamu wake kutetea wananchi na rasilimali za waTZ.
 
Kwani dr slaa hakuwa ccm?

Hapo sasa! Tena Dr. Slaa aliwahi kutaka kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM na alipochakachuliwa kwenye kura za maoni ndio akatimkia CDM. Sijui hali ingekuwaje kama angegombea kupitia CCM. Mtoa mada akumbuke kuna watu wamewahi kuvikimbia vyama vyao walivyovianzisha na kujiunga na vyama vingine. Lakini mbona naona Marando kama kafungwa gavana huko CDM siyo machachari kama alivyokuwa NCCR.
 
Sio shushushu wa nyinyiem ni wa TISS ndo hapo hata mimi sina jibu
 
Kwa taarifa yenu;
shushu mashuhuri na mahiri wote ktk nchi hii wameamua kuiunga mkono chadema baada ya kuamini na kukubali kuwa ccm haina uwezo na mvuto wa kuendelea tena kutawala baada ya kuchafuka kiasi cha kutia aibu.
Baadhi wamejitokeza adharani kama hao aki na marando na wengine kama mimi tunasaidia nyuma ya pazia.
Hii ni baada ya kuridhika na umakini na malengo ya cdm.
 
Kwani dr slaa hakuwa ccm?

Alikuwa CCM lakini kwa mabere nitofauti. Mabele alipigiwa kelele na wanaCDM kuwa ni shushu wa CCM lakini slaa hajawahi kutajwa kuwa ni shushu.
 
1. Ni haki yake kujiunga na chama cha siasa anachokitaka (kama wewe ulivyo na haki hiyo)
2.Katiba ya chadema inamtaka anayejiunga na chama hicho asiwe mwanachama wa chama kingine cha siasa, bila shaka Marando alitimiza sharti hilo wakati wa kujiunga.
 
Alikuwa CCM lakini kwa mabere nitofauti. Mabele alipigiwa kelele na wanaCDM kuwa ni shushu wa CCM lakini slaa hajawahi kutajwa kuwa ni shushu.

Asilimia 90 ya mapadri ni mashushushu; wa serikali ama wa Vatican. Hujui kwamba wamisionari ni wapelelezi?
 
Usijali Nchi hii wananchi wote ni shushushu, kwa hiyo siyo isue kama atatumia utaalamu wake kutetea wananchi na rasilimali za waTZ.

:wink2: KWELI KABISA MWANA KWETU ---- UJAMBO LAKINI MKUU !!!! LAZIMA KWA SABABU TUMECHOSHUA NA HAWA MABEBERU WAIZI CCM. TUKO TAYARI KUFA KUTETEA NCHI YETU.
 
Mimi ni mwananchi wa Tanzania ninataka kujua sababu za Marando kupokelewa CHADEMA. Hivi tuseme viongozi wa CHADEMA hawako makini? maana huyu mtu alikuwa NCCR na akasadikika kuwa ni shushu wa CCM, na wengi wa viongozi wa CHADEMA walisema hilo.

Mimi ninataka kuelewa kwann Marando yuko CHADEMA na amepewa nyazifa za juu?
Mabele ni mwamuziki wa Kikongo au ulikuwa na maana mabere?
 
Mimi ni mwananchi wa Tanzania ninataka kujua sababu za Marando kupokelewa CHADEMA. Hivi tuseme viongozi wa CHADEMA hawako makini? maana huyu mtu alikuwa NCCR na akasadikika kuwa ni shushu wa CCM, na wengi wa viongozi wa CHADEMA walisema hilo.

Mimi ninataka kuelewa kwann Marando yuko CHADEMA na amepewa nyazifa za juu?
Mbona Wasira yupo CCM wakati alikuwa upinzani??
 
Alikuwa CCM lakini kwa mabere nitofauti. Mabele alipigiwa kelele na wanaCDM kuwa ni shushu wa CCM lakini slaa hajawahi kutajwa kuwa ni shushu.

Kama wewe una kifua mtafute umuulize, mvizie mahakamani kisutu, au mahakama kuu au ofisini kwake utapata majibu ya kila kitu.
 
mashushushu walikuwa enzi za nyerere, saizi wote wanafanyakazi kwa maslai yao na si ya nyama so kijiunga chama chochote haitegemei kutokuwa spy wa tiss,chama cha sias au madhehebu ya dini
 
Back
Top Bottom