Acha uongo bwana aliyekwambia watumishi wote wa serikali ni laki tano nani? hivi unaijua idadi ya waalimu tu?Jeshi litaajiri kila mwaka au kila baada ya kipindi fulani kwa kadri ya bajeti itakavyoruhusu .
North Korea ina watu jumla ya milioni 25 wanajeshi walioajiriwa kama wanajeshi(askari na maofisa) wanapata jumla ya laki saba. Tanzania tupo watu 50 watumishi wa umma plus wanajeshi jumla inakuwa kama laki 5 hivi.
Unapata picha gani hapo?
Serikali naiomba iongeze maafisa na askari wa majeshi yote kwa nguvu zote kwa kadri ya bajeti yetu.
Security haipaswi kuchezewa wala kujaribiwa.