Atavaa2 kama akiwa Raisi kupitia chama hicho, na hata hivyo hilo vazi linawafananisha kama ni mgambo wa jiji. au askari polisi wa Nigeria.Nawauliza hasa wanachama wa CHADEMA. Tangu kuhamia kwake katika chama hicho kikuu cha upinzani nchini, Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania Edward Lowassa amekuwa havai mavazi wala nembo za CHADEMA.
Kwanini? Lowassa haonekani kuvaa magwanda wala fulana za CHADEMA mahali popote. Fulana hubeba nembo za chama chake. Nembo za CHADEMA hubeba itikadi na msimamo wa chama. Kwanini yeye havai?
Is he a temporary member of CHADEMA? Hapendi au kukubaliana na mavazi na nembo rasmi za CHADEMA? Katika mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA huko Dodoma leo,ni Lowassa tu ambaye hakuvaa fulana wala gwanda rasmi la CHADEMA. WHY?
Lowasa na chadema wapo sawa. Ni kama umuonavyo Kofi Olomide na madensa wake pamoja na waimbaji.Mweshimiwa lowasa bila shaka umetoka sehem moja umekuja nyingine, sehem hii uliyokuja tofauti kidogo na uliyotoka, ni kwamba umevua gamba sasa tunataka uvae gwanda, nimekushudia toka shelehe ya kukabidhiwa kadi ulivaa suti, nikajua kwakuwa bado ulikuwa haujiunga rasmi, lakini nimeshangaa jana unaenda kwenye tukio la muhim kichama unaenda bila gwanda!
Tena wewe na mkeo, meza nzima niwewe na mama ndio hamkuvaa gwanda, huku tunategemea nguvu ya uma, nashangaa unaongea bila peoples' powel mpaka ulipokumbushwa!
Huku hatuongei kwa upole kumbembeleza ccm, ccm ni pepo bila shaka pepo huwa hatuliambii toka huwa tunalikemea kwa sauti ya ukali, ndiomaana huku tunaitana makamanda kutembea kikamanda, kuongea kikamanda, mavazi kikamanda, naitaji kuona mabadiliko kutoka kwako kuanzia sasa
Kwanini lowasa hapendi kuvaa sare za chama chake cha chadema???
Sababu kaamua hvoKwa nini aamue hivo
Lakini Eddo akiwa ccm alikuwa anatupia sana za kijani.Swali lako zuri mkuy, japo sina jibu la hayo maamuzi yake, naomba ukumbuke hata Mwl. Haysti baba wa taifa hakuwa muumini sana wa mavazi ya chama.
Nafikiri wanakuwa na dhana ya nchi kwanza kuliko vyama.
Kwanini lowasa hapendi kuvaa sare za chama chake cha chadema???
Huyo Lowassa ni CCM,huko Chadema anawachora tu ndo maana ht hayo manguo hataki kuyavaa..!!Mweshimiwa lowasa bila shaka umetoka sehem moja umekuja nyingine, sehem hii uliyokuja tofauti kidogo na uliyotoka, ni kwamba umevua gamba sasa tunataka uvae gwanda, nimekushudia toka shelehe ya kukabidhiwa kadi ulivaa suti, nikajua kwakuwa bado ulikuwa haujiunga rasmi, lakini nimeshangaa jana unaenda kwenye tukio la muhim kichama unaenda bila gwanda!
Tena wewe na mkeo, meza nzima niwewe na mama ndio hamkuvaa gwanda, huku tunategemea nguvu ya uma, nashangaa unaongea bila peoples' powel mpaka ulipokumbushwa!
Huku hatuongei kwa upole kumbembeleza ccm, ccm ni pepo bila shaka pepo huwa hatuliambii toka huwa tunalikemea kwa sauti ya ukali, ndiomaana huku tunaitana makamanda kutembea kikamanda, kuongea kikamanda, mavazi kikamanda, naitaji kuona mabadiliko kutoka kwako kuanzia sasa
akiwahi kuvaa kofia,Nawauliza hasa wanachama wa CHADEMA. Tangu kuhamia kwake katika chama hicho kikuu cha upinzani nchini, Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania Edward Lowassa amekuwa havai mavazi wala nembo za CHADEMA.
Kwanini? Lowassa haonekani kuvaa magwanda wala fulana za CHADEMA mahali popote. Fulana hubeba nembo za chama chake. Nembo za CHADEMA hubeba itikadi na msimamo wa chama. Kwanini yeye havai?
Is he a temporary member of CHADEMA? Hapendi au kukubaliana na mavazi na nembo rasmi za CHADEMA? Katika mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA huko Dodoma leo,ni Lowassa tu ambaye hakuvaa fulana wala gwanda rasmi la CHADEMA. WHY?
Huyo Lowassa ni CCM,huko Chadema anawachora tu ndo maana ht hayo manguo hataki kuyavaa..!!