Kwanini Lowassa havai vazi rasmi la CHADEMA maarufu kama gwanda?

Mweshimiwa lowasa bila shaka umetoka sehem moja umekuja nyingine, sehem hii uliyokuja tofauti kidogo na uliyotoka, ni kwamba umevua gamba sasa tunataka uvae gwanda, nimekushudia toka shelehe ya kukabidhiwa kadi ulivaa suti, nikajua kwakuwa bado ulikuwa haujiunga rasmi, lakini nimeshangaa jana unaenda kwenye tukio la muhim kichama unaenda bila gwanda!

Tena wewe na mkeo, meza nzima niwewe na mama ndio hamkuvaa gwanda, huku tunategemea nguvu ya uma, nashangaa unaongea bila peoples' powel mpaka ulipokumbushwa!

Huku hatuongei kwa upole kumbembeleza ccm, ccm ni pepo bila shaka pepo huwa hatuliambii toka huwa tunalikemea kwa sauti ya ukali, ndiomaana huku tunaitana makamanda kutembea kikamanda, kuongea kikamanda, mavazi kikamanda, naitaji kuona mabadiliko kutoka kwako kuanzia sasa
lowassa anafanya siasa sio uanaharakati. alikwisha waeleza nini anataka msijidai hamjasikia. yeye amenunua cdm aende ikulu sio kuvaa magwanda yenu. bado kidogo ataanza kuwatimua wasiyotaka kumuelewa.
 
zake zinaandaliwa special,bullet proof kaka hakurupuki soon utamuona kavaa.
Bullet proof ndo kabila gani.....huyo siyo mwana Chadema sema hamuelewi tu.subilini mtaona picha la kikorea jinsi lilivyo tamu.mtatamani kumpiga ngumi mwenyekiti wenu
 
Kwanza nimshukuru Mh.Lowassa kwa kuonyesha busara baada ya uchaguzi kwani angeweza pinga matokeo na kuruhusu fujo zifanyike.Ila toka ajiunge Chadema mbona sijamuona hata siku mojaa yale magwanda yao kama alikua akivaa ya CCM japo si mara kwa mara?Na pia hivi ana cheo gani pale zaidi ya kua mwanachama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mjumbe wa halmashauri kuu ya Taifa Chadema,na pia niiliskiaga ni mlezi wa chama
 
Lazima ukawa mshindwe kumuelewa mzee lowassa...

Wako watu wanaomuelewa.
Najua nao wanaelewa nilichoandika hapa..
 
Back
Top Bottom