Kwanini Lowassa havai vazi rasmi la CHADEMA maarufu kama gwanda?

I think color are too bright, unahitaji sunglasses kuvaa! Sorry!
 
Hii dhahabu kwenye mchanga ilikuwa kiasi gani kwa container moja? Na Chenge alisema kiasi gani? Tujadili mada.
 
1495938151098.jpg
1495938156028.jpg
 
Lowassa ana mashabiki vyama vyotee vya siasa hapa tz so Hana haja ya kuvaa sare ya chama

Napia chadema hatuangalii kuvaa magwanda bali matendo

Waweza vaa suti na kubeba bibilia kumbe ni muasherati au jambazi no 1
wakali wa kuhamisha magoli kwenye ubora wenu:D:D:D
MAGWANDA: Slaa alivaa, Zitto alivaa, Mbowe anavaa, Mnyika anavaa, Lema anavaa, Esta wote wanavaa, Sugu anavaa, Jay anavaa iweje Mwenye hisa kubwa ashindwe vaa gwanda kulitangaza!?...
 
Nawauliza hasa wanachama wa CHADEMA. Tangu kuhamia kwake katika chama hicho kikuu cha upinzani nchini, Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania Edward Lowassa amekuwa havai mavazi wala nembo za CHADEMA.

Kwanini? Lowassa haonekani kuvaa magwanda wala fulana za CHADEMA mahali popote. Fulana hubeba nembo za chama chake. Nembo za CHADEMA hubeba itikadi na msimamo wa chama. Kwanini yeye havai?

Is he a temporary member of CHADEMA? Hapendi au kukubaliana na mavazi na nembo rasmi za CHADEMA? Katika mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA huko Dodoma leo,ni Lowassa tu ambaye hakuvaa fulana wala gwanda rasmi la CHADEMA. WHY?
Haya mabo yako huku kwetu bongo na hayana faida yoyote. Mbona wanaovàa rangi za majani wametufikisha hapa tunapiga bla bla tu.
 
Kwa akili hizi wacha tuibiwe magwangwala sijui makaniki. Tunaanza kujadili nani kavaa nini. Really?
Jibu swali hilo muhimu acheni kujitoa ufahamu. Mnatoka mapovu kwa swali hili muhimu, yaani mmepigwa upofu mapaka jambo hili hamlioni mnatakiwa bongo zenu zipigwe nyundo labda zitashituka. kwanini wote wavae yeye asivae kama mnamfananisha na Nyerere ina maana I Lowasa ni zaidi ya Mbowe hii imethibitisha kuwa Chadema ilishauzwaa siku nyingi maana yake hakuna anayeweza kumwambia kitu Lowasa achaneni na hiyo Sacos.
 
Wengi wa wanachama wataanza hoo nyerere alikuwa havai sare za ccm,,huyu mzee simpendi ndani ya chadema jamani
 
Wengi wa wanachama wataanza hoo nyerere alikuwa havai sare za ccm,,huyu mzee simpendi ndani ya chadema jamani
Kwani kuvaa sare ndio kukipenda sana chama???? Iweje uvae sare ya chadema afu moyoni uwe msaliti/CCM???

chama ni imani na itikadi sio sare
 
Lowassa ana mashabiki vyama vyotee vya siasa hapa tz so Hana haja ya kuvaa sare ya chama

Napia chadema hatuangalii kuvaa magwanda bali matendo

Waweza vaa suti na kubeba bibilia kumbe ni muasherati au jambazi no 1
Mbona hizo sifa zinaendana kabisa na mgombea Urais wenu !
 
Katika watu nilikua nadhani wana akili ni pamoja na mleta mada.
Lakini kumbe I was dead wrong.
 
Habari, hivi kiongoz mmoja ktk chama x anakuwa havai sare ya chama ktk event za chama ni kuashiria nn? Je sio usaliti kwa wenzio? Au haina shida?
 
Back
Top Bottom