Kwanini Lowassa havai vazi rasmi la CHADEMA maarufu kama gwanda?

Habari, hivi kiongoz mmoja ktk chama x anakuwa havai sare ya chama ktk event za chama ni kuashiria nn? Je sio usaliti kwa wenzio? Au haina shida?
mwenye majibu yasiyo weza kutiliwa shaka ni yeye mwenyewe. Si yupo? Kamuulize.
 
Nawauliza hasa wanachama wa CHADEMA. Tangu kuhamia kwake katika chama hicho kikuu cha upinzani nchini, Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania Edward Lowassa amekuwa havai mavazi wala nembo za CHADEMA.

Kwanini? Lowassa haonekani kuvaa magwanda wala fulana za CHADEMA mahali popote. Fulana hubeba nembo za chama chake. Nembo za CHADEMA hubeba itikadi na msimamo wa chama. Kwanini yeye havai?

Is he a temporary member of CHADEMA? Hapendi au kukubaliana na mavazi na nembo rasmi za CHADEMA? Katika mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA huko Dodoma leo,ni Lowassa tu ambaye hakuvaa fulana wala gwanda rasmi la CHADEMA. WHY?
Usiulize kwa nn?
Unamjua vizuri Lowasa wewe au unadhani yeye ni mwepesi wa siasa kama Mbowe? Nenda jaribu kumuuliza Lakini kwa ufupi Lowasa ni lulu ya CCM nani ya CHADEMA!
 
Nawauliza hasa wanachama wa CHADEMA. Tangu kuhamia kwake katika chama hicho kikuu cha upinzani nchini, Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania Edward Lowassa amekuwa havai mavazi wala nembo za CHADEMA.

Kwanini? Lowassa haonekani kuvaa magwanda wala fulana za CHADEMA mahali popote. Fulana hubeba nembo za chama chake. Nembo za CHADEMA hubeba itikadi na msimamo wa chama. Kwanini yeye havai?

Is he a temporary member of CHADEMA? Hapendi au kukubaliana na mavazi na nembo rasmi za CHADEMA? Katika mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA huko Dodoma leo,ni Lowassa tu ambaye hakuvaa fulana wala gwanda rasmi la CHADEMA. WHY?
Lowassa amenunua chadema apate uchochoro wa kwenda ikulu,sio kama ana mapenzi na itikadi na chadema
Nina uhakika ukimwambia Lowassa akutajie kifungu chochote kile kwenye katiba ya chadema hataweza kutaja kwa sababu hajui.
Uliona wapi mjumbe wa kamati kuu akakaa meza kuu na viongozi wa chama wa kitaifa
Kama seniority matters,angekaa Sumaye ambaye alifanikiwa kuitafuna nchi kwa miaka 10
 
Mavazi/Sare?.Ya kazi gani haswa?.

Kwa kutumia mantiki, Je inasaidia nini?.Binafsi sidhani kama suala la kuvaa sare lina-matter sana.Hoja ya msingi ni kufanya kazi sawasawa na Katiba na kutekeleza ilani ya vyama na si vinginevyo.Rejea comment ya Paul Alex hapo juu na utajifunza kitu.

Pia Lowassa si Limbukeni wa siasa kama mbavyo wengi wetu tulivyo.Yaani tumefikia kujipumbuza hadi kuvaa nguo za vyama tena zikiwa na nembo Misibani, kwenye shughuli za kitaifa nk.Nadhani kuna tatizo sehemu.

Tungekuwa hatuvai haya mavazi uliyoyaita sare then tukawa real mioyoni mwetu basi, haya mengine yasingekuwa na maana yeyote ile.

Asalaam.
 
Tupia hata picha moja ambapo Nyerere amevaa shati la kijani na kofia ya njano. Je, Nyerere was a temporary member ? Au alikuwa hakubaliani na vazi la ccm ?
Kwa hivyo unamfananisha nyerere na huyu fisadi?!
na kumbuka nyerere ni miongoni ya waanzilishi wa chadema, na lowasa ni muanzilishi wa team wema (chadema)?!
nyerere hata asingekuwa anavaa kijani, u ccm haukuwa wa kutiliwa shaka tofauti na mamvi aliyetimkia chadema kwa sababu ya kuusaka urais tuu!!
 
Huyu taangu Bosi wake Palamagamba Kabudi Apewe Uwaziri amekua Akiidharau Chadema aliyokua akishabikia taangu mdogo.
 
Nawauliza hasa wanachama wa CHADEMA. Tangu kuhamia kwake katika chama hicho kikuu cha upinzani nchini, Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania Edward Lowassa amekuwa havai mavazi wala nembo za CHADEMA.

Kwanini? Lowassa haonekani kuvaa magwanda wala fulana za CHADEMA mahali popote. Fulana hubeba nembo za chama chake. Nembo za CHADEMA hubeba itikadi na msimamo wa chama. Kwanini yeye havai?

Is he a temporary member of CHADEMA? Hapendi au kukubaliana na mavazi na nembo rasmi za CHADEMA? Katika mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA huko Dodoma leo,ni Lowassa tu ambaye hakuvaa fulana wala gwanda rasmi la CHADEMA. WHY?
Aiseee,tumefikia hapa kwamba tunajadili nani kavaa nini?????Tena mtu mtu mwenye elimu ya uanasheria anatoa mada kujadili fulani kavaa nini!!!!!!!shame
 
f2a76b096050cba5417b7d6133363e21.jpg
Huyu mzee anawatesa sana mioyo yao!
 
mkuu unajazba sana. punguza jazba tujadiliane. Uanachama kindakindaki (usiotiliwa shaka unaupimaje ?). Nyerere si ndiyo alisema ccm siyo mama yake na hivyo anaweza kusepa ? Najua Lowassa amewashika pabaya sana magamba.
LAKINI:-

Haya mambo hayahitaji hasira.
 
Mpaka leo hamjajua kUwa huyo ni ccm damu'?anae bisha anioneshe picha inayo onyesha anarudisha card ya ccm"au akaangalie namba ya card yake ya ccm inadeni"au imefutwa!!think twice""
 
Back
Top Bottom