Kwanini Lowassa havai vazi rasmi la CHADEMA maarufu kama gwanda?

Nawauliza hasa wanachama wa CHADEMA. Tangu kuhamia kwake katika chama hicho kikuu cha upinzani nchini, Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania Edward Lowassa amekuwa havai mavazi wala nembo za CHADEMA.

Kwanini? Lowassa haonekani kuvaa magwanda wala fulana za CHADEMA mahali popote. Fulana hubeba nembo za chama chake. Nembo za CHADEMA hubeba itikadi na msimamo wa chama. Kwanini yeye havai?

Is he a temporary member of CHADEMA? Hapendi au kukubaliana na mavazi na nembo rasmi za CHADEMA? Katika mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA huko Dodoma leo,ni Lowassa tu ambaye hakuvaa fulana wala gwanda rasmi la CHADEMA. WHY?

Kwa sababu ni Mungu wa chadema kama Mange Kimambi, yuko above the laws za chadema!
 
Mavazi? Hiyo hoja inasaidia nini mpaka na wewe ukapoteza muda kuandika huu upupu?. Kwa fikira hizo hapa ni kazi tu kwa kweli.
 
Nawauliza hasa wanachama wa CHADEMA. Tangu kuhamia kwake katika chama hicho kikuu cha upinzani nchini, Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania Edward Lowassa amekuwa havai mavazi wala nembo za CHADEMA.

Kwanini? Lowassa haonekani kuvaa magwanda wala fulana za CHADEMA mahali popote. Fulana hubeba nembo za chama chake. Nembo za CHADEMA hubeba itikadi na msimamo wa chama. Kwanini yeye havai?

Is he a temporary member of CHADEMA? Hapendi au kukubaliana na mavazi na nembo rasmi za CHADEMA? Katika mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA huko Dodoma leo,ni Lowassa tu ambaye hakuvaa fulana wala gwanda rasmi la CHADEMA. WHY?
f2a76b096050cba5417b7d6133363e21.jpg
 
One thing;
Lowassa ni mwanasiasa ambaye ana wapenzi kutoka vyama vyote vya siasa. Na ndivyo alivyouza brand yake .

Angalia kampeni kama ulipo tupo utagundua ana haki ya kuwa alivyo.
Actually ina faida pia.
Unaona Magufuli ameshindwa kuiunganisha nchi kwaajili ya kuwa too partisan. Actually ana ride on luck . Likitokea janga kubwa la kitaifa kama vita utanielewa zaidi .

So, Lowassa yuko poa.
Halafu kama unafuatilia kinachoendelea katika siasa duniani kote, watu wamekuwa na tendency ya kuachana na vyama na kutafuta mtu Neutral anayeweza kubeba hoja zao na kuunganisha taifa.
 
Mbona hayati baba wa Taifa hamkumwuliza kwanini havai magwanda ya kijani?
Ivi huoni tofauti kabisa kutaja Baba wa taifa na Lowasa!!? bora hayati unamtambua kama baba wa taifa,na lowasa unamtambua kama nani!!? Tahadhari nimeuliza tu naomba kama utafikiria kunijibu vby uache tu kujibu
 
Nawauliza hasa wanachama wa CHADEMA. Tangu kuhamia kwake katika chama hicho kikuu cha upinzani nchini, Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania Edward Lowassa amekuwa havai mavazi wala nembo za CHADEMA.
Ni kwa sababu CHADEMA hakuna sheria inayomlazimisha mwanachama wake kuvaa sare, na CHADEMA wanaheshimu uhuru wa mtu.
 
Mmiliki wa chama hawezi kuvaa sare sawa na wafua nguo zake.

Lowasa alinunua chadema kwa fedha nyingi (zaidi ya billion 10)
Ndio maana huwezi kuona amevaa gwanda wala hawezi kwenda kwenye zile ofisi chakavu pale ufipa.
Ukiambiwa uthibishe kama alinunua chama utaweza
 
One thing;
Lowassa ni mwanasiasa ambaye ana wapenzi kutoka vyama vyote vya siasa. Na ndivyo alivyouza brand yake .

Angalia kampeni kama ulipo tupo utagundua ana haki ya kuwa alivyo.
Actually ina faida pia.
Unaona Magufuli ameshindwa kuiunganisha nchi kwaajili ya kuwa too partisan. Actually ana ride on luck . Likitokea janga kubwa la kitaifa kama vita utanielewa zaidi .

So, Lowassa yuko poa.
Halafu kama unafuatilia kinachoendelea katika siasa duniani kote, watu wamekuwa na tendency ya kuachana na vyama na kutafuta mtu Neutral anayeweza kubeba hoja zao na kuunganisha taifa.
Is Lowasa Neutral!!?,,si angeachana na CCM abaki tu kuwa mwanaharakati,kwa nini aende CHADEMA,au huko ndo NEUTRAL!!!?

Yawezekana tatizo ni neno neutral,ebu litafsiri kiswahili labda kweli yuko neutral
 
Nawauliza hasa wanachama wa CHADEMA. Tangu kuhamia kwake katika chama hicho kikuu cha upinzani nchini, Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania Edward Lowassa amekuwa havai mavazi wala nembo za CHADEMA.

Kwanini? Lowassa haonekani kuvaa magwanda wala fulana za CHADEMA mahali popote. Fulana hubeba nembo za chama chake. Nembo za CHADEMA hubeba itikadi na msimamo wa chama. Kwanini yeye havai?

Is he a temporary member of CHADEMA? Hapendi au kukubaliana na mavazi na nembo rasmi za CHADEMA? Katika mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA huko Dodoma leo,ni Lowassa tu ambaye hakuvaa fulana wala gwanda rasmi la CHADEMA. WHY?

Kwani hujui ? Mmoja nje Mmoja ndani
 
Back
Top Bottom