Kwanini Lissu, anang'aa hivi?

Mmh!
 
Jibu ni moja tu. Watu wengi wasiokua na shughuli maalum ndo wamejaa mitandaoni, na Wengi wao ni wa chama kilee cha Mbowe.
'Watu wengi wasiokuwa na kazi maalum' kwa nchi au vyama vyenye nia njema huwafanya watu hawa kuwa na 'kazi maalu' kinyume chake uwingi wao huonyesha umaskini wa nchi na ni bomu kwa watawala
 
Muulize Paskali Mayala, anajua siri hiyo
 
Ni kama Nyerere mtu asiye na tamaa ya fedha ,anasaidis kutetea haki za watu wanaoonewa. Historia yake yote ni ya utetezi!
 
Utufukuze kazi, hupandishi mishahara, sukari juu, nani atawapa kura na chama cha magufuri(ccm)
 
Thread nyingine ni comedy tupu.
 
Jibu ni moja tu. Watu wengi wasiokua na shughuli maalum ndo wamejaa mitandaoni, na Wengi wao ni wa chama kilee cha Mbowe.
Wewe pia mmojawapo wasiokua na shughuli
Tuna kazi zetu tunalipwa mishahara ndio maana tunaweza kununua bundle kuperuzi na kujua yanayojiri kupitia JF
Next....
 
Jibu ni moja tu. Watu wengi wasiokua na shughuli maalum ndo wamejaa mitandaoni, na Wengi wao ni wa chama kilee cha Mbowe.
Wamewazidi mashabiki wa yule jamaa mwenye Kichwa kama Bedford la kizamani?
 
Sio Lissu hata mgombea mwenza Mwalimu nimeona clips akiwa Nachingwea na Songea kwenye ngome ya CCM aibu...Sasa baasiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…