Ni mbarikiwa, asiyetunza chuki, asiyelipa kisasi na mwalimu was haki.Nimefatilia post nyingi, wengi ili wapate wachangiaji lazima jina la Lissu lihusike kwenye headline.
Zingine zisizomtaja Kamanda Lissu hazidumu mda mrefu wala hazipati wachangiaji wengi. Watu wanafurahi headline inayoanza na chochote kinachomuhusu Lissu.
Baadhi wanateseka sana kwa anachokifanya Kamanda. NINI SIRI YA KUNGAA KWA LISSU NA JINA LAKE?
Lissu kila analolifanya lipo very Calculated. Ni mpinzani ambaye anajua ku provoke na yupo smart kwenye masuala ya Sheria na KanuniNimefatilia post nyingi, wengi ili wapate wachangiaji lazima jina la Lissu lihusike kwenye headline.
Zingine zisizomtaja Kamanda Lissu hazidumu mda mrefu wala hazipati wachangiaji wengi. Watu wanafurahi headline inayoanza na chochote kinachomuhusu Lissu.
Baadhi wanateseka sana kwa anachokifanya Kamanda. NINI SIRI YA KUNGAA KWA LISSU NA JINA LAKE?
Aanze na Mbowe anaekula ruzuku ya chama.Kwa kutetea haki dhidi ya wahuni wapole haki
Usikariri, sio kila mzungu ni Padre!!Hata Lowassa alipanda daladala kuwafuata walipo watu wengi. Lakini haikusaidia
Chunga uliimi wako Kijana!!jpm kamng' arisha, kwa kuwatuma wasiojulikana wamuue na wakashindwa.
Atakuwa anatumia hela za mabeberu/wahisani kununua wachangiaji mitandaoni.Nimefatilia post nyingi, wengi ili wapate wachangiaji lazima jina la Lissu lihusike kwenye headline.
Zingine zisizomtaja Kamanda Lissu hazidumu mda mrefu wala hazipati wachangiaji wengi. Watu wanafurahi headline inayoanza na chochote kinachomuhusu Lissu.
Baadhi wanateseka sana kwa anachokifanya Kamanda. NINI SIRI YA KUNGAA KWA LISSU NA JINA LAKE?
Mwambie CAG aweke wazi hizo tuhuma kama zipo ili Lissu amshughulikie, na kisha aweke na zile 1.5t za Assad ili amshughulikie na Meko.Aanze na Mbowe anaekula ruzuku ya chama.
U can't silence people by eliminate them Hakuna aliyewahi fauluChunga uliimi wako Kijana!!
Kama chama mbogamboga mnanunuliwa kutoa mchango wenu wa maoni kwa maslahi ya chama.waliowengi humu wanatoa mchango was kizalendo kwa nchi ya o kwa gharama zao.maana halisi no kwa uzalendo halisi.Atakuwa anatumia hela za mabeberu/wahisani kununua wachangiaji mitandaoni.
Mawazo ya kilumumba haya
Amewatoa jela bure watz 450 waliozulumiwa maeneo yao na kubambikwa kesi wakafungwa maisha na Utawala dhalimu wa mzee wa lupaso walipopinga kuporwa ardhi zao zenye madini.Anang'aa kwa kipi alichoifanyia Tanzania/au hata kwenye jimbo lake tu lamaana ni lipi alilofanya?
Tafuta clip ya Mtumishi wa Mungu Mwingira akimuelezea Lissu then utapata majibu ya hayo maswali yako ndugu!!Nimefatilia post nyingi, wengi ili wapate wachangiaji lazima jina la Lissu lihusike kwenye headline.
Zingine zisizomtaja Kamanda Lissu hazidumu mda mrefu wala hazipati wachangiaji wengi. Watu wanafurahi headline inayoanza na chochote kinachomuhusu Lissu.
Baadhi wanateseka sana kwa anachokifanya Kamanda. NINI SIRI YA KUNGAA KWA LISSU NA JINA LAKE?
Na pia unaosema hawana kazi,kumbukeni mna sera yenu ya ubaguzi halafu mnatudanganya madndeleo hayana vyama.Wakati mnasema maendeleo yataenda kwa waliowachagua.Acheni aibu hiyo.Na kwa nanna hiyo hampaswi kutudanganya nyie wazalendo na mnaweza kuleta maendeleo kwenye taifa letu.
Why do you think there is a court?U can't silence people by eliminate them Hakuna aliyewahi faulu
When Jesus says Yes nobody Can say NONimefatilia post nyingi, wengi ili wapate wachangiaji lazima jina la Lissu lihusike kwenye headline.
Zingine zisizomtaja Kamanda Lissu hazidumu mda mrefu wala hazipati wachangiaji wengi. Watu wanafurahi headline inayoanza na chochote kinachomuhusu Lissu.
Baadhi wanateseka sana kwa anachokifanya Kamanda. NINI SIRI YA KUNGAA KWA LISSU NA JINA LAKE?]