Kwanini Lissu, anang'aa hivi?

Anonymeous

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2019
Posts
275
Reaction score
484
Nimefatilia post nyingi, wengi ili wapate wachangiaji lazima jina la Lissu lihusike kwenye headline.

Zingine zisizomtaja Kamanda Lissu hazidumu mda mrefu wala hazipati wachangiaji wengi. Watu wanafurahi headline inayoanza na chochote kinachomuhusu Lissu.

Baadhi wanateseka sana kwa anachokifanya Kamanda.

NINI SIRI YA KUNGAA KWA LISSU NA JINA LAKE?
 
Karma.
 
Nimefatilia post nyingi, wengi ili wapate wachangiaji lazima jina la Lissu lihusike kwenye headline.

Zingine zisizomtaja Kamanda Lissu hazidumu mda mrefu wala hazipati wachangiaji wengi...
Jibu ni moja tu. Watu wengi wasiokua na shughuli maalum ndo wamejaa mitandaoni, na Wengi wao ni wa chama kilee cha Mbowe.
 
Kuna mtu alisema huenda ni ka miziziology au ngekewa tu
 
Nyota njema hata shetani alimkataa siku ile sept 7
 
Lissu amekuja kuwaondoa watanzania kwenye utawala wa ki-imla unaowatesa wanyonge ndio maana anapendwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…