Kwanini Line za suport HESLB hazipokelewi?

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Mimi ni mmoja wapo nimepiga leo kutoka Asubuhi mpaka sasa hivi nahitaji msaada ili nijaze form hizo lakini cha kushangaza hawa wafanya kazi wamefunga sim na line inayo patikana ni moja tu kwanini?

kama hawataki wanafunzi waaply si waseme tu?

Hivi Wajameni watanzania tutaburuzwa kama mbango mpaka lini na kuhusu kujaza form mpaka watu waandamane ndiyo murekebishe tabia zenu chafu, hebu fanyeni kazi zenu kwa ufanisi bwana mumeomba kazi wenyewe hakuna aliye walazimisha.
Naongea na nyinyi Board ya Mikopo ya Elimu ya juu
 
Vipi mkulu, wameramba pesa yako na registration imegoma? Komaa watapokea tu, na wakipokea jiandae kuongea na wamama flani hivi vilaza.
 
hivi wanoendelea, ie mwaka wa 2, 3, 4 na 5 inakuwaje? nao wanatakiwa wakimaliza waprint?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom