Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,734
- 20,819
Kwani kila taifa lazima liwe na ligi Bora ya football?? Kenya wao wanashinda medali za dhahabu kwenye mbio kila siku.Taifa kubwa, lina hela na linapenda mpira. Inakuwaje ligi ya Tz ni bora kuliko ya Nigeria? Naona wanigeria wengi kama wakenya. Kushabikia zaidi timu za Epl lakini ndani hawana club za maana. Shida yao nini?
Mjomba, kama una kiasi fulani cha fedha nenda mwenyewe huko Nigeria ukafanye utafiti kuhusu hilo tatizo. Majibu utakayoyapata, yatakuwa ni msaada pia kwetu sisi hapa jukwaani.Taifa kubwa, lina hela na linapenda mpira. Inakuwaje ligi ya Tz ni bora kuliko ya Nigeria? Naona wanigeria wengi kama wakenya. Kushabikia zaidi timu za Epl lakini ndani hawana club za maana. Shida yao nini?
Lakini Nigeria na hata Kenya bado mpira wa miguu ni mchezo pendwa kwa wananchi. Tofauti na nchi kama India au Pakistan. Tulitegemea Wanigeria wawe na ligi bora kukidhi kiu ya hao mashabiki. Ukiwaangalia wana kila kitu cha kuwafanya wawe na ligi bora.Kwani kila taifa lazima liwe na ligi Bora ya football?? Kenya wao wanashinda medali za dhahabu kwenye mbio kila siku.
Nigeria muziki wao ni global, umefika kote duniani.
Sina change hizo uncle.Mjomba, kama una kiasi fulani cha fedha nenda mwenyewe huko Nigeria ukafanye utafiti kuhusu hilo tatizo. Majibu utakayoyapata, yatakuwa ni msaada pia kwetu sisi hapa jukwaani.
Siasa kama zinavyotumika simba na yanga huku kule ni Vice versaLakini Nigeria na hata Kenya bado mpira wa miguu ni mchezo pendwa kwa wananchi. Tofauti na nchi kama India au Pakistan. Tulitegemea Wanigeria wawe na ligi bora kukidhi kiu ya hao mashabiki. Ukiwaangalia wana kila kitu cha kuwafanya wawe na ligi bora.
Hata timu yao ya taifa ni bora kuliko ligi ya mama kizimkaziKwani kila taifa lazima liwe na ligi Bora ya football?? Kenya wao wanashinda medali za dhahabu kwenye mbio kila siku.
Nigeria muziki wao ni global, umefika kote duniani.
BSUkivitaka vyote kwa pupa utavikosa vyote kwa pupa wale wamechagua njia zao zakukwamua michezo,burudan na sanaa kua ajira kwa mtu binafsi kwaiyo wao wameweka link tu kwa wananchi na mataifa yakigeni
Kwamba kule siasa ndio zinaua Mpira?Siasa kama zinavyotumika simba na yanga huku kule ni Vice versa
Uongo wachezaji wetu wanauzika nje?Eeh mkuu hapo umegusa sna, kweli Nigeria wana talent nyingi lakini ligi yao haina utaratibu, wachezaji wao wote wanakimbilia Ulaya mapema sana. Ligi yetu ingawa hela ndogo lakini imara kwenye usimamizi, ndio maana wachezaji wetu wanakaa na kuendeleza timu za ndani. Hata hivyo, Nigeria bado wana ubora wa kimichezo, ni mazingira tu yanawapoteza. umemwaga
Rushwa broTaifa kubwa, lina hela na linapenda mpira. Inakuwaje ligi ya Tz ni bora kuliko ya Nigeria? Naona wanigeria wengi kama wakenya. Kushabikia zaidi timu za Epl lakini ndani hawana club za maana. Shida yao nini?