Chanzo ni kuwa,toka P Square ianze Peter na Paul Okoye walikuwa wanamenejiwa na kaka yao aitwae Jude Okoye,So imekwenda Peter akawa haridhishwi na Uongozi wa Kaka Yake,Hivyo akajaribu Kumshawishi Paul Wabadilishe Management, Paul alikataa katakata kwa sababu Ilikuwa ni Family Business, So Peter akaamua kujio doa akatafuta Manager wake na kujitangaza Kama Solo artist