Siku zote mkifanya business kindugu lazima shida itokeee
Kaka yao anataka mali zao wagawane sawa ingali yeye ni just manager wao so Peter akakataa and pia peter anaona management yao kama haiwasaidiii yan kaka yao Jude
so akataka wabadil management, paul akagoma.
Hapo ndo shida kubwa ilipo bt huu ugomv upo tangu mda sana coz inasemekana peter ameacha kukaa squareville kama four years