mpenda pombe
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 1,410
- 722
Wataalamu wa teknolojia.. me nina king'amuzi cha azam, dstv na Startimes.
Nimeangalia ubora wa picha na sauti.. naona startimes wanaubora mbovu sana..
Je startimes wamepunguza ubora wa picha na sauti kwa makusudi au ni vifaa ni vyazamani??
Naomba majibu ya kitaalamu wadau teknolojia