Kwanini kuna watu hawaheshimu "personal space"?

Una tako kubwa?
 
Mkuu kuna watu ustaarabu ni zero kabisa na wao wanaona kitu cha kawaida mno. Umekaa zako umetulia huna baya na mtu unashangaa unashtuliwa kwa kofi eti wee mbona umezubaa na mtu hamna mazoea kabisa hamfahamiani
 
Just learn the way of the world as it is not the way you just wish it to be.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…