Kwanini Kuna ulazima wa kutumia Helkopta?

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Tokea kupata uhuru ni Miaka 50 sasa CCM wameshindwa kuleta maendeleo kwa kipindi chote hicho kilefu,,
Maendeleo hayo ni pamoja na kuendeleza Miundombinu ya Barabara, madaraja yanayounganisha wilaya moja na nyingine, mkoa mmoja na mwingine,

Sasa kutokana na hilo CCM wenyewe wanathibitisha kwa kutumia Helkopta na CHADEMA wanalazimika kutumia helkopta, kwasababu miundombinu huko Igunga Tabora ni Mibovu,,

Sijui kama wana Tabora wanalifahami hili,, na kama wanalifahamu nadhani watafanya uamuzi
 
Back
Top Bottom