Kwanini kuna ongezeko kubwa sana la single mothers?

Kweli kabisa mkuu wanaume wengi hutuniwa na ibilisi kuharibu future za wanawake wengi. Mwisho wa siku wanawake wanabaki na makovu mioyoni
Inakuaje mwanamke azae na mwanaume asiejitambua??? Hapo kosa la nani??? Kwani alibakwa?
 
Nimemuacha. Wala simjibu tena. Kama kaniita mbwa hakawii kunishushia mitusi. Mimi kunguru mwoga acha niepushe shari bwana.
Mama wa watoto. Pole sana kwa msaibu yote. Ombi langu ni moja tu.
msamehe huyo bwana mdogo saba mara sabini.
 
Sijisikii kubishana leo ila naona una fosii tubishane vipi wale wanaume ambao ana kuficha hana Familia kabisa, wewe tulia na mkeo pia ukimpa mimba mchepuko hudumia kelele zitatoka wapi wengi wenu humu mmekimbia damu nzenu. Mimi naomba tu nisipate mwanaume anipe mimba kisha anikimbe wallah namkodishia watu wamfanye kaoge kulipiza kisasi ipo 🤣🤣🤣🤣🤣
 
My dada usiumize kichwa.
Just chillax, maisha haya ni mafupi kubishana na watu ovyo ovyo.
 
Halafu huyo akipewa mimba na mume wa mtu, lawama zote kwa mwanaume wakati alikuwa anajua kabisa anadate na mume wa mtu
 
Halafu huyo akipewa mimba na mume wa mtu, lawama zote kwa mwanaume wakati alikuwa anajua kabisa anadate na mume wa mtu
Kwa hiyo wewe kufanya ngono hali ya kuwa ni mume wa mtu Kwako sio kosa haya ni maajabu kwa kweli, Tulieni na wake nzenu nyinyi ndio mnawaletea wanawake maradhi yasiyo tibika ndani
 
Hiyo ni style mpya tu ya maisha
 
Mimi nimewazungumzia wale wanaojua kabisa wanatembea na waume za watu, hao wengine sijui.

Dada huwajui wanaume ww unaweza ukapewa mimba na ukakimbiwa na usifanye chochote, hujakutana na wahuni.

Mimi mwenyewe sipendi tabia za vijana wa siku hizi za kupendwa kuitwa baba lakini hatupendi yale majukumu ya ubaba na najua matunda yanayopatikana watoto wakilelewa na baba na mama, vilevile najua madhara ya mtoto akilelewa na mzazi mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…