Wazee wa CodeMkuu piga ndogo au ya kati hayo ya 12000 ni fake
🤣Ukishaona hivyo ujue ushakuwa Mlevi Mkuu
Atumie kitu asilia kabisaHamia gongo
Konyagi na Jack Daniels wapi na wapiAtumie kitu asilia kabisa
Hapo ndio ujue kuwa taasisi inayohusika na ufuatiliaji nchini ipo kwenye hali gani. Tumefikia hatua ya kila mtu aliyopo kwenye taasisi flani anajiambia moyoni " Ah watajijua wenyewe as long as napokea mshahara na posho kwaajili ya familia yangu nijiangaishe ya nini maana kila kitu kimeharibika, tupo tupo tu". Tuvumiliane😂Cha ajabu mpaka feki zina sticker za TRA
Kwa hali iliyofikia nchini watu hawaangalii hii ni fake au original bali wanachojali ni matokeo baada ya kunywa which is VIBE mzee baba🤣Achana na hizo pombe, feki zimejaa sokoni sio salama kwa afya
Usijaribu maana ni tamu hutaachaSijawahi kuona raha ya pombe kabisa
Utamu uko kwenye nini?Usijaribu maana ni tamu hutaacha
Utamu wa pombe ni stimu kichwani,na sio utamu wa ladha mdomoni.Yaani utamu wa pombe ni ile umekunywa afu unaanza kuhisi raha bila kujua raha imetoka wapi 😁😁 yaani unakuwa mchangamfu ghafla.Kifupi tu utamu wa pombe uko kichwani na Kwenye damu(uchangamfu ) na sio ladha ya pombe eti imepikwaje maana juisi Ina ladha nzuri kuliko bia ila ukinywa juisi huchangamki/hupati stimu.Nimeandika kama tester niliyefukuzwa kazi TBL baada ya kukutwa nimelewa kazini😁Utamu uko kwenye nini?
Sasa hiyo stimu si hata kwenye bangi imo? Sasa bangi inautamu gani?Utamu wa pombe ni stimu kichwani,na sio utamu wa ladha mdomoni.Yaani utamu wa pombe ni ile umekunywa afu unaanza kuhisi raha bila kujua raha imetoka wapi 😁😁 yaani unakuwa mchangamfu ghafla.Kifupi tu utamu wa pombe uko kichwani na Kwenye damu(uchangamfu ) na sio ladha ya pombe eti imepikwaje maana juisi Ina ladha nzuri kuliko bia ila ukinywa juisi huchangamki/hupati stimu.Nimeandika kama tester niliyefukuzwa kazi TBL baada ya kukutwa nimelewa kazini😁
Na ukisizi kutokana na bangi basi jua wewe ni kichwa panzi yaani pombe haikufai,wazee wa kusizi wanaitumia bangi kama Busta baada ya kuzimua pombe kwanza.kwamba uvute bangi peke yake usizi wewe ni bora uache ulevi tu maana haukufaiSasa hiyo stimu si hata kwenye bangi imo? Sasa bangi inautamu gani?
Ungesema pombe sio tamu bali inakufanya usizi ningekuelewa
Mimi sio mlevi na sivuti bangiNa ukisizi kutokana na bangi basi jua wewe ni kichwa panzi yaani pombe haikufai,wazee wa kusizi wanaitumia bangi kama Busta baada ya kuzimua pombe kwanza.kwamba uvute bangi peke yake usizi wewe ni bora uache ulevi tu maana haukufai
Sasa kama hunywi pombe Wala huvuti bangi we umejuaje kwamba bangi Ina stimu au unatuchora tu😁😁Mimi sio mlevi na sivuti bangi