Kwanini Konyagi haipo kwenye soko la hisa?

Come27

JF-Expert Member
Dec 1, 2012
7,503
7,107
Habari za shughuli, kinywaji hiki kinauza sana hapa Tanzania. Lakini mbona katika Soko la hisa hakionekaniki kama wanafanya biashara yenye faida au ndio tabia yetu kufanya biashara bila rekodi au wanafanya hivyo kukwepa kodi. Maana ukipita kila kona kumejaa viroba.

Biashara hiyo ipo kila kona ya mtaa lakini kama kampuni haipo.
Naomba mchangie kwa lugha nzuri
 
ingia dse usome vigezo na mashart sio kila co. Lazima iwepo mpaka iwe plc then isajiliwe ndio mueze nunua hisa na kusaidia kiwanda cha konyagi kupata mtaji mkubwa na kuendesha biashara mwishon mpate magawiwooo asante nmepitaaa
 
Kuna kampuni ya Konyagi ambayo inaitwa Tanzania Distillers limited

Ambayo ni tofauti na Tanzania breweries limited

Hata Serengeti breweries limited ni tofauti na Tanzania breweries limited
Sio kwamba pombe zote ni Tanzania breweries limited
 
Konyagi ipo chini ya TBL so ipo DSE, nunua hisa za TBL kama unaamini mauzo ya Konyagi yatakua.
Konyagi ipo chini ya South Africa Breweries (SAB-Miller). SAB miller pia inamiliki TBL, DarBrew (Chibuku) na cokacola kwanza, so hizo kampuni tanzu tatu za vilevi ukiacha cokacola, kwa pamoja zinaitwa TBL group. So TBL na TDL (konyagi) ni kampuni ndugu, yani zinamilikiwa na baba mmoja (SAB).
 
wewe ni kilaza umeuliza umejibiwa bado unabisha
Wewe tunazungumzia pombe, Wewe kama uelewi kitu bora ukae kimiya. Tunazungumzia pombe tatizo lako Wewe unakalili breweries ni kampuni zote au una stress za kufukuzwa chuo. Ingia Internet alafu fanya comparison ya konyagi na pombe nyingine sio unatoka povu kilaza wewe
 
WEWE NI KILAZA HAUJUI CHOCHOTE KUHUSU KONYAGI KUWA NDANI YA TBL BORA UKAE KIMYA
 
Kwani mkuu Umeshawahi kusikia bia ya kilimanjaro iko sokoni DSE au bia ya castle lager iko sokoni DSE?
 
Kuna kampuni ya Konyagi ambayo inaitwa Tanzania Distillers limited

Ambayo ni tofauti na Tanzania breweries limited

Hata Serengeti breweries limited ni tofauti na Tanzania breweries limited
Sio kwamba pombe zote ni Tanzania breweries limited

TDL ipo chini ya TBL kasome ripoti ya mwaka ya TBL utaona Konyagi inaongelewa sana.

Tanzania Breweries ni kampuni tofauti ambayo nayo ipo DSE.
 
Back
Top Bottom