naona mnadanganyana sasa!
SIMU 2000 ilikuwa ni kampuni iliyokuwa inahodhi mali za serikali wakati wa ubinafsishaji awamu ya tatu ya ben mkapa, hii kampuni ilimaliza kazi zake mwishoni wa awamu ya tatu na kazi zake nafikiri siku hizi zinafanya na consolidate holding corporation wapo pale mirambo st opposite na ofisi za world bank tanzania ,pia nilisikia CHC muda wake wakufanya kazi ulitakiwa uishe mwaka huu wa fedha,pia kulikuwa na kampuni nyingine zinazofanana na SIMU 2000 kama LART, ATHCO
kwa hiyo kile kituo kipya cha mabasi kilikuwa kinaodhiwa na hiyo kampuni inayoitwa SIMU 2000 Tanzania ltd ndio maana bado panatambulika kama eneo la kampuni tajwaa iliyohodhi eneo hilo
hilo swala la vibaka kuiba simu na kuuza shilingi 2000 wapate pesa ua unga ni uongo mkubwa,
unaweza kupata info za kampuni ya SIMU 2000 kupitia tovuti ya ::CHC Homepage::
hata mimi hili jibu limenishawishi kukubaliana nalo
Hizo ni njia zilimo pita njia za nyaya za simu.Ukweli ni upi Mkuu? Tujuzeni tujue.
2000 ni mwaka ilionzishwa hio kampuni kuhodhi mali za kampuni ya simu thus wakaiita SIMU 2000Sasa mkuu naona wewe umeamua tu kugoma kabisa kuelewa. Hapa tunaongelea kituo cha mabasi Simu 2000. Kwa mujibu wa maelezo ya hapo juu, kuna kampuni ilikua inaitwa hivyo ilikua ikimiliki hayo maeneo na ndio chanzo cha hicho kituo kuitwa hivyo.
Sasa hapa unataka kuhamisha swali kwanini hiyo kampuni iliitwa simu 2000 ltd, hapo hata mimi sijui mkuu.
Uko sawa, wakati fulani nikiwa field kwa Attorney Genera pale Kivukoni, wana Library nzuri sana, yenye almost kila sheria ya nchi hii.Lile eneo lilikua linamilikiwa na kampuni/shirika la serikali liitwalo SIMU 2000 ambalo lilianzishwa kuhodhi mali za kampuni ya simu kama ilivyokuwa RALCO ambayo inahodhi mali ya kampuni ya reli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unawalisha watu matangopori
Hilo maarufu kama kwa ZOMBE alipowaua wafanyabiashara wa MAHENGE.
Learned brother...kuna librarian flan pale AG Chambers anaitwa Nassoro....cjui bado yupo?Uko sawa, wakati fulani nikiwa field kwa Attorney Genera pale Kivukoni, wana Library nzuri sana, yenye almost kila sheria ya nchi hii.
Siku moja nikipitia mojawapo ya sheria hapo maktaba nilikutana na sheria inayoianzisha hii kampuni ya Simu 2000, ikianzishwa spesheli kwa ajili ya kuhodhi mali za kampuni tajwa.
Haya ni maajabu mengine mkuuNa ilikuaje pale pakajengwa stendi ya mabasi madogo ya kisasa na kuwekewa barabara ya vumbi?
Sent using Jamii Forums mobile app