Kwanini Kilimo imekuwa ikionekana kama Sekta ya watu waliofeli (wameishiwa mbinu)

base nine

New Member
Feb 21, 2024
1
2
Hii imekua ikionekana dhahili kabisa vijan wengi wakion kua umeangukia katika kilimo wanakuona umeshafeli kabisa hauna maajabu wandai

Na wamekua wakiona kazi ya kilimo ngumu saana

Hapana hii sio kweli kilimo so ngum kama tunavozania sio Kila mkulima hushika jembe Kwa maana unaweza ajili jaman tunapokua tunasubili ajira tujalibu walau kujishikiza na kilimo.

muda mwingine unaweza penda kilimo na ajira usiwazie tena.

kilimo ni kazi kama kazi zingine

IMG_20231004_163803_802.jpg
 
Yes kilimo ni kizuri lkn pia kinaitaji mtaji Kama biashara nyingine. Wengi wanafikilia kilimo lkn ttz mtaji.
 
umewahi kulima mahindi kisha zuio la kuuza njee likatangazwa? 2013 nilikuwa na gunia kama 3000 za mahindi Dodoma kidogo nipate kiharusi mahindi hayapandi bei na ndio nilitumia gharama kubwa kuyalima, 2014 sikulima.....MUNGU MKUBWA 2015 wakati anaapishwa magufuli unga kilo ulifika 2000 kwa mara ya kwanza nchini....sababu ni 2013 kwa sababu za kisiasa za uchaguzi wa 2015 UNGA usipande bei ikaamuliwa hamna kuuza njee
 
Kilimo ni Bonge la Biashara Ila Sasa kunahitaji Mtaji Ili mambo Yaende Vizuri Mfano Kuna Changamoto za kilimo,kama Mafuriko, kuzoa mazao kama Una Bima Inapendeza, Kuna Kukosa soko, na Kuporomoka Kwa Bei ya Mazao Hapo napo Kama Huna Mtaji ni Changamoto Ila Kilimo ni Bonge la Ajira Kilimo ni Utajiri!
 
umewahi kulima mahindi kisha zuio la kuuza njee likatangazwa? 2013 nilikuwa na gunia kama 3000 za mahindi Dodoma kidogo nipate kiharusi mahindi hayapandi bei na ndio nilitumia gharama kubwa kuyalima, 2014 sikulima.....MUNGU MKUBWA 2015 wakati anaapishwa magufuli unga kilo ulifika 2000 kwa mara ya kwanza nchini....sababu ni 2013 kwa sababu za kisiasa za uchaguzi wa 2015 UNGA usipande bei ikaamuliwa hamna kuuza njee
Bado hujamaliza vzr story yako
 
Kwamba vijana wajishikize kwenye kilimo wakisubiri ajira sio? Wewe mwenyewe ushakipa kilimo supplementary, how do you expect us to rate agriculture first while all the grades benchmark starts with number 2?
 
Inaonekana hivyo Kwa kuwa wengi wanaoingia huko hawana maarifa ya kutosha, awako na utashi na hiyo kitu coz wengi wameshindwa sehemu nyingine, na awako tayari kufanya mabadiliko hivyo wanafanya kilimo kimazoea . Mzee mmoja aliniambia kuwa inabidi uwe na fedha ndo ukalime ndo utafanikiwa . Changanua hiyo hisabati
 
Back
Top Bottom