Kwanini kilakitu kizuri watu wanasema chadema!!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini kilakitu kizuri watu wanasema chadema!!?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kukumdogo, Apr 8, 2011.

 1. kukumdogo

  kukumdogo JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 80
  wadau wenzangu nimechoshwa na haya matamshi ya kuwaona watu wasiopo chadema hawana mawazo mazuri. Pale karimjee wakati tambwe hiza akiongea upupu wake hata wana ccm walimzomea lakini cha ajabu ni kwamba huyu spika wa bunge anajaribu kusema waliomzomea tambwe hiza ni cdm pekee. Hii sio sawa yani tuseme chadema ndo yenye vichwa pekee na wengine wote ni vilaza. Jamani tusiharibiane kama ccm ikifanya upuuzi wa kupitisha mswada kwa madai eti wakirekebisha watakuwa wamechukua mawazo ya chadema basi watu wote tutaangamia. Napenda kutoa hamasa zangu kama itaendelea hivi ni wakati muafaka kwa wahadhiri wa vyuo vikuu wote na watu wote wenye mawazo chanya katika maendeleo ya nchi tuhamie chadema badala ya kudhalilishwa kila siku na spika wetu na wabunge kumpigia makofi wakifikiri wanafuraisha wana ccm waliopo nje. Kila kukicha chadema wanasifiwa tu hata kama mawazo sio yao inaonekana ni yao. Mh spika badilika kuwa kama sita. Mawaziri wanadanganya bungeni tunajua kuwa wanadanganya lakini unawatetea umetumwa we mama? Wana ccm tunauchungu we ngoja tu tutapigia chadema kura tena jimboni kwako kama usipo badilika. Unajulika na ni lilaza ukifuatiwa na tambwe hiza kwakweli.
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  ulivyopresent wewe sio CDM au ndio kwanza unapiga jaramba skuli.
  Hapo red:Huna haja ya kuwashawishi wahadhiri na wanavyuo kwa sababu wameweza kupembua mchele na mchangaa toka siku nyingi ndio maana wengi hawapo chama la mafisadi na lilioshika madaraka kwa uongo wa udini.
   
 3. Kowan

  Kowan Member

  #3
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe uko upande gani? "HUELEWEKI"
   
 4. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Amesema atahamia CDM!
   
Loading...