Kwanini kila pakiboreshwa wateja wanakimbia?

Kwanini kila pakiboreshwa wateja wanakimbia?

Tatizo la Tznia hatuna tabaka la kati (middle class) hata wale wa vipato vizuri tabia zao zaki peasant wananunua nyanya za mafungu sukali robo nk...kwahiyo lazma ufuate tabia zao kama unataka kufanya biashara "when you go to Rome behave like a Roman"

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ndio wajuaji wengi
Kweli tabia haibadiliki hata iweje
Unawakuta watu wamepiga suti zao wametoka ofisini mshahara mzuri lakini wanakula kwa mama ntilie ambapo maji anayonawia hayajachemshwa na nzi wanazunguka hapo kwenye chakula na wanaona sawa tu

Hii tabia haitabadilika kama mnanunuliwa madafu na kugawiwa na president unategemea nini?


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom