Kwanini kila pakiboreshwa wateja wanakimbia?

Impimpi

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2019
Posts
468
Reaction score
971
Wakuu habari
Hii kitu imenitokea juzi juzi nilikuwa na kimgahawa changu kidogo tu ila kilikuwa kinalisha watu wengi sana na ilhali mazingira hayakuwa rafiki kiafya na kifupi haikuwa sehemu yenye hadhi na kuvutia kabisa.
Nikajipanga nikapaboresha nikapajenga ili watu wakae ndani full feni na viti vizuri ila bei ikabaki ile ile.
Kilichotokea wateja karibia wote wamekimbia hawaji tena
Maandazi yanavunda kabatini ..chapati ndio usiseme zinakuwa kavuuuuu wadau nifanyeje au nilikosea kuboresha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudisha kama kawaida pawe mataputapu utaona wateja wanarudi. Unajua bwana Tz baaado sana, watu wengi standard yao ipo chini sana ukiwapa vitu vya juu wanaona sio vyao ni ajabu sana.

Hata humu JF ukitaka uzi wako usomwe usiandike kisomi, tupia tu hivyo kishenzi shenzi utasomwa mpaka ufurahi! Tuna kazi nchi hii!
 
Jee Kuna dampo la takataka au mto mfereji mchafu ??
 
Rudisha kama kawaida pawe mataputapu utaona wateja wanarudi. Unajua bwana Tz baaado sana, watu wengi standard yao ipo chini sana ukiwapa vitu vya juu wanaona sio vyao ni ajabu sana.

Hata humu JF ukitaka uzi wako usomwe usiandike kisomi, tupia tu hivyo kishenzi shenzi utasomwa mpaka ufurahi! Tuna kazi nchi hii!
Hahahah

am better here
 
Weka tangazo kuwa 'Karibuni, bei karibu na bure'. Pengine itasaidia.
Umaskini unatufanya tusijiamini. Tukiona sehemu nzuri, moja kwa moja tunajenga dhana kuwa huduma zitakuwa aghali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari
Hii kitu imenitokea juzi juzi nilikuwa na kimgahawa changu kidogo tu ila kilikuwa kinalisha watu wengi sana na ilhali mazingira hayakuwa rafiki kiafya na kifupi haikuwa sehemu yenye hadhi na kuvutia kabisa.
Nikajipanga nikapaboresha nikapajenga ili watu wakae ndani full feni na viti vizuri ila bei ikabaki ile ile.
Kilichotokea wateja karibia wote wamekimbia hawaji tena
Maandazi yanavunda kabatini ..chapati ndio usiseme zinakuwa kavuuuuu wadau nifanyeje au nilikosea kuboresha?

Sent using Jamii Forums mobile app
Weka tangazo la menu zinazopatikana hapo na bei zake ili wateja wajue kua bei ni ileile ya zamani japokua pameboreshwa. Biashara ni matangazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari
Hii kitu imenitokea juzi juzi nilikuwa na kimgahawa changu kidogo tu ila kilikuwa kinalisha watu wengi sana na ilhali mazingira hayakuwa rafiki kiafya na kifupi haikuwa sehemu yenye hadhi na kuvutia kabisa.
Nikajipanga nikapaboresha nikapajenga ili watu wakae ndani full feni na viti vizuri ila bei ikabaki ile ile.
Kilichotokea wateja karibia wote wamekimbia hawaji tena
Maandazi yanavunda kabatini ..chapati ndio usiseme zinakuwa kavuuuuu wadau nifanyeje au nilikosea kuboresha?

Sent using Jamii Forums mobile app
Andika bei zote za vyakula bandika ukutani wakija kula wachache watawaambia na wengine kuwa bei ni ileile haijapanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa aliamua kubadili muonekano wa duka lake baada ya kukusanya faida kwa mda, akaweka milango ya aluminium na vioo, akaweka tiles
Yaani jamaa walikimbia wote na kusema hilo duka ghali mno
Wakati bidhaa ni zile zile

Mswahili ukitaka akuunge lazima uwe mchafu mchafu tu usiweke chochote hata kama kuna mfereji wa maji machafu yanapita ndio bora zaidi maana hata bwana Afya atakula hapohapo

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Tatizo la Tznia hatuna tabaka la kati (middle class) hata wale wa vipato vizuri tabia zao zaki peasant wananunua nyanya za mafungu sukali robo nk...kwahiyo lazma ufuate tabia zao kama unataka kufanya biashara "when you go to Rome behave like a Roman"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom