Kwanini kila namba ikizidishwa mara sifuri jibu lake linakuwa sifuri? My answer is more spiritual than Mathematical

Utotoni tulifundishwa kuwa kila namba ikizidishwa mara sifuri jibu lake linakuwa sifuri.

Tukafundishwa zaidi kwamba sifuri ikizidishwa Kwa namba yoyote jibu lake linakuwa sifuri?

Is this correct?

0 x namba yoyote = 0 . Nakubaliana.

Kwa sababu multiplication is a short form of addition.

Mfano : 0 x 7
Ni Sawa na kusema ujumlishe sifuri mara saba.

Yani : 0+0+0+0+0+0+0
Hapa nakubali jibu lake ni sifuri.

But 7 X O kusema jibu lake ni sifuri Hilo nakataa sio kweli. It is not mathematical correct and it does not make any sense.

Kwa sababu 7 X 0 NI Sawa na kusema
7 +0.

Hivi leo ukipata shilingi milioni moja kwenye Duka lako halafu kesho usipate hata senti Tano so maana yake na milioni moja inayeyuka?

Kumbuka nimesema kuzidisha ni short cut ya kujumlisha.

7+ 0 is the same as 7 X 0.

So ukichukua hiyo milioni moja uliyoingiza Jana ukajumlisha na shilingi sifuri ambayo umeingiza Leo utabaki na shilingi sifuri?

1 milion + 0 itakuwa Sawa Sawa na Sifuri?

Mimi sikubaliani na Hilo.

Nasema Tena: 0 x namba yoyote jibu lake NI Sawa na Sifuri but ukichilia mbali sifuri, namba yoyote kuanzia moja uki ikizidisha na Sifuri jibu lake inakuwa ni hiyo number.

Kusema namba yoyote mara sifuri jibu lake ni sifuri is spiritually correct but mathematically wrong.

How is it correct...

Ur an evarage of five persons that Ur hanging out with the most of the time.

Una hang out na watu watano na wewe NI WA SITA.

So It is : 1+1+1+1+1+1 which is equal to 6.

So kupata evarage hapo utatakiwa upate jumla ya hizo namba and then ugawe Kwa SITA Kwa sababu namba zipo sita.

So 1 + 1 +1 +1+1+1 is equal to six. Six divide by six equals to 1.

So u will be one with those Ur hanging out with.

If Ur hanging out with loosers at the end of the day u will be a looser.

So kama wewe thamani ya mawazo yako ni one million. Halafu ukaanza ki hang out na watu ambao thamani Ya mawazo Yao ni Sifuri basi at the end of the day na wewe mawazo yako yatakuwa sifuri kama wewe.

The lAw of attraction which is a spiritual law will come into force.

Au kama wewe umeoa wake wanne halafu kampani yako ni watu ambao hawajaoa. Mwisho WA siku utajikuta na wewe hauna mke hata mmoja Kwa sababu you will be influenced by their life style

Wacha nami nitie neno hapa

Mwanzo umeanza vizuri ila ulipofika kwenye 7×0 hapo ulianza kuhalibu kazi

Twende Sasa 7×0
Ni swa na mtu akwambue uende safari Saba kila safari uchukue sufuri (usichukue kitu kwa kila safari )

Sasa swali la iijiuliza ni kwamba je baada ya safari Saba kuisha kulikua na jumla ya vitu vingapi vimeketwa ?
Automatically ni sifuri (hakuna ulicho leta)

Kumbuka kuzidisha ni sawa na kujumlisha
 
Hapa ndio unapoona wasomi wa bongo... Mtoa mada kaleta hoja hapa.. lakn wengine wanatukana hawaonyeshi chochote ... Wengine wanaonyesha njia zao wakimaliza wanamkejeli kana kwamba yeye yupo sahihi... Mbeleni lazima ugomvi utatokea wa wachangiaji na mada inaishia angani tu... Mi nisome tu ila mleta mada anahoja
 
Mkuu hesabu ina sheria zake,
Kuna kitu inaitwa laws of property kwenye hesabu ambapo multiplication ina obey commutative law (i.e 7×0 = 0×7) sasa sijui we unatumia maarifa gani kusema 7×0 sio sawa na 0×7.

Hesabu ni sayansi na science has no democracy. Science is about facts and facts have no feelings.

Katika vitu usiweke maoni yako ni science, hizi facts zilizopo ni after a thorough research kwa hiyo kama unataka kuraise critics you better do your homework (research) first.
Soma hapa juu nimejaribu kueleza.
Hapa ndio unapoona wasomi wa bongo... Mtoa mada kaleta hoja hapa.. lakn wengine wanatukana hawaonyeshi chochote ... Wengine wanaonyesha njia zao wakimaliza wanamkejeli kana kwamba yeye yupo sahihi... Mbeleni lazima ugomvi utatokea wa wachangiaji na mada inaishia angani tu... Mi nisome tu ila mleta mada anahoja
Hana hoja yoyote ya maana kwenye swali lake, kwa mtu aliyefika form 1 (ambapo hesabu ni somo la lazima) hizi laws of property zinafundishwa form 1.

Kwa hiyo ama mtoa mada hajafika form 1 au hakuwa makini na masomo yake ndio maana haelewi anachokiuliza.
 
Kwa msaada zaidi tazama hizi laws:

Commutative Laws:

a + b = b + a
a × b = b × a

Associative Laws:

(a + b) + c = a + (b + c)
(a × b) × c = a × (b × c)

Distributive Law:

a × (b + c) = (a × b) + (a × c)
 
Umepata sh 0 katika siku 7, ni 0 (hujapata kitu)

Umepata sh 7 katika siku 0, ni 0(hujapata kitu)

7*0=0
 
Utotoni tulifundishwa kuwa kila namba ikizidishwa mara sifuri jibu lake linakuwa sifuri.

Tukafundishwa zaidi kwamba sifuri ikizidishwa Kwa namba yoyote jibu lake linakuwa sifuri?

Is this correct?

0 x namba yoyote = 0 . Nakubaliana.

Kwa sababu multiplication is a short form of addition.

Mfano : 0 x 7
NI Sawa na kusema ujumlishe sifuri mara Saba.

Yani : 0+0+0+0+0+0+0
Hapa nakubali jibu lake NI sifuri.

But 7 X O kusema jibu lake ni sifuri Hilo nakataa sio kweli. It is not mathematical correct and it does not make any sense.

Kwa sababu 7 X 0 NI Sawa na kusema
7 +0.

Hivi leo ukipata shilingi milioni moja kwenye Duka lako halafu kesho usipate hata senti Tano so maana yake na milioni moja inayeyuka?

Kumbuka nimesema kuzidisha NI short cut ya kujumlisha.

7+ 0 is the same as 7 X 0.

So ukichukua hiyo milioni moja uliyoingiza Jana ukajumlisha na shilingi sifuri ambayo umeingiza Leo utabaki na shilingi sifuri?

1 milion + 0 itakuwa Sawa Sawa na Sifuri?

Mimi sikubaliani na Hilo.

Nasema Tena : 0 x namba yoyote jibu lake NI Sawa na Sifuri but ukichilia mbali sifuri, namba yoyote kuanzia moja uki ikizidisha na Sifuri jibu lake inakuwa ni hiyo number.

Kusema namba yoyote mara sifuri jibu lake ni sifuri is spiritually correct but mathematically wrong.

How is it correct...

Ur an evarage of five persons that Ur hanging out with the most of the time.

Una hang out na watu watano na wewe NI WA SITA.

So It is : 1+1+1+1+1+1 which is equal to 6.

So kupata evarage hapo utatakiwa upate jumla ya hizo namba and then ugawe Kwa SITA Kwa sababu namba zipo sita.

So 1 + 1 +1 +1+1+1 is equal to six. Six divide by six equals to 1.

So u will be one with those Ur hanging out with.

If Ur hanging out with loosers at the end of the day u will be a looser.

So kama wewe thamani ya mawazo yako ni one million. Halafu ukaanza ki hang out na watu ambao thamani Ya mawazo Yao ni Sifuri basi at the end of the day na wewe mawazo yako yatakuwa sifuri kama wewe.

The lAw of attraction which is a spiritual law will come into force.

Au kama wewe umeoa wake wanne halafu kampani yako ni watu ambao hawajaoa. Mwisho WA siku utajikuta na wewe hauna mke hata mmoja Kwa sababu you will be influenced by their life style

Umeshindwa kuelewa concept ya "a×0" ,, ("a" stands for any number).

Ni hivi, mfano; 2×3=6, ie 2+2+2=6,

Hivyo; 2×3, maana yake ni 2+2+2=6.

Kwa concept hiyo hiyo; 0×3=0+0+0=0,
Maana yake ni, Sufuri ziwe idadi ya tatu halafu uzijumlishe , sasa tuje kwenye; 3×0, maana yake; tatu ziwe idadi ya sufuri halafu uzijumlishe, sasa unawezaje kupata 3 ziwe idadi ya 0 halafu uzijumlishe???--- ni kwamba 3 ziwe idadi ya sufuri ni Sufuri, kwa maneno mengine huwezi kupata namba fulani iwe katika idadi ya 0, kwasababu huwezi kupata idadi ya 0, hiyo ni sawa na jibu 0. na ndio maana ukisema; (a×b=ab) kwa maneno mengine, ab ni ZAO la "a" na "b". Zao in this case means product.

a×b=ab, take a=mother, b=father, therefore, ab is a child, in the same line of argument, a×0=0, because in that equation there is no father resulting into 0 child. (a×0 produces Zero that no off spring).

Kwahiyo any number multiplied by Zero produces zero.

a×b=b×a, therefore 0×a=a×0, that is the commutative property in multiplication.
 
Mfano : 0 x 7
Ni Sawa na kusema ujumlishe sifuri mara saba.

Yani : 0+0+0+0+0+0+0
Hapa nakubali jibu lake ni sifuri.

But 7 X O kusema jibu lake ni sifuri Hilo nakataa sio kweli. It is not mathematical correct and it does not make any sense.

Kwa sababu 7 X 0 NI Sawa na kusema
7 +0.

Hivi leo ukipata shilingi milioni moja kwenye Duka lako halafu kesho usipate hata senti Tano so maana yake na milioni moja inayeyuka?

Kumbuka nimesema kuzidisha ni short cut ya kujumlisha.

7+ 0 is the same as 7 X 0.
Let's use the same theory:

7x3 = 3x7 = 21
8x7 = 7x8 =56
9x6 = 6 x9 = 63
4x3 =3x4 = 12
Now: 0 x7 = ? x ? = ?
 
Unalipwa mafao yako Tzs0 kila mwezi.
Baada ya miezi 12 utakuwa na shilingi ngapi?
Lazima uchukue ile 0*12=(0+0+0+0+0+0
......)=0.
Baada ya miezi 12 mafao yatakuwa 0.

Nikisema nitakupa Tzs100 kila mwezi. Wakati mwezi ukiwa bado haujaanza maana yake unakuwa kwenye 0. Sasa hiyo Tzs 100×mwezi 0 = itakuwa umeingiza shiling ngapi?
Jibu ni 0 kwa sababu mwezi bado hata mmoja.
HESHIMA YAKO MKUU.
 
Utotoni tulifundishwa kuwa kila namba ikizidishwa mara sifuri jibu lake linakuwa sifuri.

Tukafundishwa zaidi kwamba sifuri ikizidishwa Kwa namba yoyote jibu lake linakuwa sifuri?

Is this correct?

0 x namba yoyote = 0 . Nakubaliana.

Kwa sababu multiplication is a short form of addition.

Mfano : 0 x 7
Ni Sawa na kusema ujumlishe sifuri mara saba.

Yani : 0+0+0+0+0+0+0
Hapa nakubali jibu lake ni sifuri.

But 7 X O kusema jibu lake ni sifuri Hilo nakataa sio kweli. It is not mathematical correct and it does not make any sense.

Kwa sababu 7 X 0 NI Sawa na kusema
7 +0.

Hivi leo ukipata shilingi milioni moja kwenye Duka lako halafu kesho usipate hata senti Tano so maana yake na milioni moja inayeyuka?

Kumbuka nimesema kuzidisha ni short cut ya kujumlisha.

7+ 0 is the same as 7 X 0.

So ukichukua hiyo milioni moja uliyoingiza Jana ukajumlisha na shilingi sifuri ambayo umeingiza Leo utabaki na shilingi sifuri?

1 milion + 0 itakuwa Sawa Sawa na Sifuri?

Mimi sikubaliani na Hilo.

Nasema Tena: 0 x namba yoyote jibu lake NI Sawa na Sifuri but ukichilia mbali sifuri, namba yoyote kuanzia moja uki ikizidisha na Sifuri jibu lake inakuwa ni hiyo number.

Kusema namba yoyote mara sifuri jibu lake ni sifuri is spiritually correct but mathematically wrong.

How is it correct...

Ur an evarage of five persons that Ur hanging out with the most of the time.

Una hang out na watu watano na wewe NI WA SITA.

So It is : 1+1+1+1+1+1 which is equal to 6.

So kupata evarage hapo utatakiwa upate jumla ya hizo namba and then ugawe Kwa SITA Kwa sababu namba zipo sita.

So 1 + 1 +1 +1+1+1 is equal to six. Six divide by six equals to 1.

So u will be one with those Ur hanging out with.

If Ur hanging out with loosers at the end of the day u will be a looser.

So kama wewe thamani ya mawazo yako ni one million. Halafu ukaanza ki hang out na watu ambao thamani Ya mawazo Yao ni Sifuri basi at the end of the day na wewe mawazo yako yatakuwa sifuri kama wewe.

The lAw of attraction which is a spiritual law will come into force.

Au kama wewe umeoa wake wanne halafu kampani yako ni watu ambao hawajaoa. Mwisho WA siku utajikuta na wewe hauna mke hata mmoja Kwa sababu you will be influenced by their life style.

Wewe, a×0 inakusumbua, vipi a÷0 ??? Hapo si utalia kabisa!!!
 
Consider "appearance of something",
7 Bundles have appeared zero times is not (what matters on this case is the second fact, thus the first fact is 7bundles) as in 7 bundles have appeared several times (have first and second fact real).
 
Nahisi umelewa kabla ya kuandika huu uzi,

Unajuaa nini maana ya sifuri ? Ukijua hilo hata hutaweza kuhangaika tena !

Kusema 7x0 , this means 7 is not there always, even if you try to make it 7x0x0x0 , the same you will score.

Umefikili tu 7x0 cant be the same as 0x7 , why not thinking 10x12 is not the same 12x10 ??

7x0 = 0x7 = 0
Ongea kiswahili tu..hiyo lugha achana nayo au jipige msasa kdg cuz sijaelewa!
 
Kikubwa ni zero.
Zero ni namba ya ajabu.
Si positive wala negative lakini ni even n eti.

Lakini ni kitu cha ajabu kwa dunia ya sasa kujadili zero inatakiwa tujadili largest prime number.
 
0×7 maana yake sifuri sifuri ziwe saba, 0+0+0+0+0+0+0=0

7×0 maana yake saba saba ziwe sifuri, maana yake hiyo saba haipo
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom