Kwanini kila namba ikizidishwa mara sifuri jibu lake linakuwa sifuri? My answer is more spiritual than Mathematical

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
11,907
2,000
kama wewe umeoa wake wanne halafu kampani yako ni watu ambao hawajaoa. Mwisho WA siku utajikuta na wewe hauna mke hata mmoja Kwa sababu you will be influenced by their life style

Usiniambie!
This is a one sided thinking; kwa nini usiseme kuwa baada ya muda na wao watakuwa na wake wanne kila mmoja kama wewe.
 
Noswerd malila

Senior Member
Jan 12, 2014
142
225
Utotoni tulifundishwa kuwa kila namba ikizidishwa mara sifuri jibu lake linakuwa sifuri.

Tukafundishwa zaidi kwamba sifuri ikizidishwa Kwa namba yoyote jibu lake linakuwa sifuri?

Is this correct?

0 x namba yoyote = 0 . Nakubaliana.

Kwa sababu multiplication is a short form of addition.

Mfano : 0 x 7
NI Sawa na kusema ujumlishe sifuri mara Saba.

Yani : 0+0+0+0+0+0+0
Hapa nakubali jibu lake NI sifuri.

But 7 X O kusema jibu lake ni sifuri Hilo nakataa sio kweli. It is not mathematical correct and it does not make any sense.

Kwa sababu 7 X 0 NI Sawa na kusema
7 +0.

Hivi leo ukipata shilingi milioni moja kwenye Duka lako halafu kesho usipate hata senti Tano so maana yake na milioni moja inayeyuka?

Kumbuka nimesema kuzidisha NI short cut ya kujumlisha.

7+ 0 is the same as 7 X 0.

So ukichukua hiyo milioni moja uliyoingiza Jana ukajumlisha na shilingi sifuri ambayo umeingiza Leo utabaki na shilingi sifuri?

1 milion + 0 itakuwa Sawa Sawa na Sifuri?

Mimi sikubaliani na Hilo.

Nasema Tena : 0 x namba yoyote jibu lake NI Sawa na Sifuri but ukichilia mbali sifuri, namba yoyote kuanzia moja uki ikizidisha na Sifuri jibu lake inakuwa ni hiyo number.

Kusema namba yoyote mara sifuri jibu lake ni sifuri is spiritually correct but mathematically wrong.

How is it correct...

Ur an evarage of five persons that Ur hanging out with the most of the time.

Una hang out na watu watano na wewe NI WA SITA.

So It is : 1+1+1+1+1+1 which is equal to 6.

So kupata evarage hapo utatakiwa upate jumla ya hizo namba and then ugawe Kwa SITA Kwa sababu namba zipo sita.

So 1 + 1 +1 +1+1+1 is equal to six. Six divide by six equals to 1.

So u will be one with those Ur hanging out with.

If Ur hanging out with loosers at the end of the day u will be a looser.

So kama wewe thamani ya mawazo yako ni one million. Halafu ukaanza ki hang out na watu ambao thamani Ya mawazo Yao ni Sifuri basi at the end of the day na wewe mawazo yako yatakuwa sifuri kama wewe.

The lAw of attraction which is a spiritual law will come into force.

Au kama wewe umeoa wake wanne halafu kampani yako ni watu ambao hawajaoa. Mwisho WA siku utajikuta na wewe hauna mke hata mmoja Kwa sababu you will be influenced by their life style
Unafeli wapi mzee 7×0=0
0 husimama kama nadharia si kitu halisi
 
sawima

JF-Expert Member
Jul 9, 2019
4,848
2,000
Unalipwa mafao yako Tzs0 kila mwezi.
Baada ya miezi 12 utakuwa na shilingi ngapi?
Lazima uchukue ile 0*12=(0+0+0+0+0+0
......)=0.
Baada ya miezi 12 mafao yatakuwa 0.

Nikisema nitakupa Tzs100 kila mwezi. Wakati mwezi ukiwa bado haujaanza maana yake unakuwa kwenye 0. Sasa hiyo Tzs 100×mwezi 0 = itakuwa umeingiza shiling ngapi?
Jibu ni 0 kwa sababu mwezi bado hata mmoja.

Umetisha sana.
 
Mc cane

JF-Expert Member
May 18, 2018
5,418
2,000
Ungetuambia hii idea/concept umeitoa wapi kwanza

Vinginevyo kuna hoja hapa
Utotoni tulifundishwa kuwa kila namba ikizidishwa mara sifuri jibu lake linakuwa sifuri.

Tukafundishwa zaidi kwamba sifuri ikizidishwa Kwa namba yoyote jibu lake linakuwa sifuri?

Is this correct?

0 x namba yoyote = 0 . Nakubaliana.

Kwa sababu multiplication is a short form of addition.

Mfano : 0 x 7
NI Sawa na kusema ujumlishe sifuri mara Saba.

Yani : 0+0+0+0+0+0+0
Hapa nakubali jibu lake NI sifuri.

But 7 X O kusema jibu lake ni sifuri Hilo nakataa sio kweli. It is not mathematical correct and it does not make any sense.

Kwa sababu 7 X 0 NI Sawa na kusema
7 +0.

Hivi leo ukipata shilingi milioni moja kwenye Duka lako halafu kesho usipate hata senti Tano so maana yake na milioni moja inayeyuka?

Kumbuka nimesema kuzidisha NI short cut ya kujumlisha.

7+ 0 is the same as 7 X 0.

So ukichukua hiyo milioni moja uliyoingiza Jana ukajumlisha na shilingi sifuri ambayo umeingiza Leo utabaki na shilingi sifuri?

1 milion + 0 itakuwa Sawa Sawa na Sifuri?

Mimi sikubaliani na Hilo.

Nasema Tena : 0 x namba yoyote jibu lake NI Sawa na Sifuri but ukichilia mbali sifuri, namba yoyote kuanzia moja uki ikizidisha na Sifuri jibu lake inakuwa ni hiyo number.

Kusema namba yoyote mara sifuri jibu lake ni sifuri is spiritually correct but mathematically wrong.

How is it correct...

Ur an evarage of five persons that Ur hanging out with the most of the time.

Una hang out na watu watano na wewe NI WA SITA.

So It is : 1+1+1+1+1+1 which is equal to 6.

So kupata evarage hapo utatakiwa upate jumla ya hizo namba and then ugawe Kwa SITA Kwa sababu namba zipo sita.

So 1 + 1 +1 +1+1+1 is equal to six. Six divide by six equals to 1.

So u will be one with those Ur hanging out with.

If Ur hanging out with loosers at the end of the day u will be a looser.

So kama wewe thamani ya mawazo yako ni one million. Halafu ukaanza ki hang out na watu ambao thamani Ya mawazo Yao ni Sifuri basi at the end of the day na wewe mawazo yako yatakuwa sifuri kama wewe.

The lAw of attraction which is a spiritual law will come into force.

Au kama wewe umeoa wake wanne halafu kampani yako ni watu ambao hawajaoa. Mwisho WA siku utajikuta na wewe hauna mke hata mmoja Kwa sababu you will be influenced by their life style
 
M kathias

JF-Expert Member
Jun 13, 2017
2,770
2,000
Au chukua hii,

Viwanda 8000+,

halafu kumbe hakuna kiwanda hata kimoja(0).

Unakuwa na viwanda vingapi hapo?
 
gspain

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,773

Mkuu hesabu ina sheria zake,
Kuna kitu inaitwa laws of property kwenye hesabu ambapo multiplication ina obey commutative law (i.e 7×0 = 0×7) sasa sijui we unatumia maarifa gani kusema 7×0 sio sawa na 0×7.

Hesabu ni sayansi na science has no democracy. Science is about facts and facts have no feelings.

Katika vitu usiweke maoni yako ni science, hizi facts zilizopo ni after a thorough research kwa hiyo kama unataka kuraise critics you better do your homework (research) first.
 
Eng. Zezudu

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
4,981
2,000
Embu angalia hapa

2x2=4 and 2+2= 4 , 3x3=9 and 3+3=6 and 1+1=2 and 1x1=1

How can you prove the above solution mathematically.?
 
Jan 27, 2018
60
125
Afu nyie watu mliokimbia umande mnalazimisha Sana kujua hesabu ukubwani

Haya tuanze hapa
7*0=0
Kwa maana ya summation inakuwa hivi
Kwanza namba 0 = nothing
So ziro ziwe Saba
0+0+0+0+0+0+0=0
Au maana nyingine 7 iwe ziro
7=nothing=0
Imeisha hiyo
Umeanza vzr umekuja kijichanganya, 7 it can't be zero
 
Gentleman96

JF-Expert Member
Mar 12, 2019
883
1,000
Jamaa uko sahihi!
7 x 0 = 7
0 x 7 = 0

( kumbuka kuzidisha ni hivi
2 x 0 = 2 + 0

Au
0 x 2 = 0+ 0
.......
Ukibisha sawa tu,
 
njoo kwetu

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
741
1,000
Utotoni tulifundishwa kuwa kila namba ikizidishwa mara sifuri jibu lake linakuwa sifuri.

Tukafundishwa zaidi kwamba sifuri ikizidishwa Kwa namba yoyote jibu lake linakuwa sifuri?

Is this correct?

0 x namba yoyote = 0 . Nakubaliana.

Kwa sababu multiplication is a short form of addition.

Mfano : 0 x 7
Ni Sawa na kusema ujumlishe sifuri mara saba.

Yani : 0+0+0+0+0+0+0
Hapa nakubali jibu lake ni sifuri.

But 7 X O kusema jibu lake ni sifuri Hilo nakataa sio kweli. It is not mathematical correct and it does not make any sense.

Kwa sababu 7 X 0 NI Sawa na kusema
7 +0.

Hivi leo ukipata shilingi milioni moja kwenye Duka lako halafu kesho usipate hata senti Tano so maana yake na milioni moja inayeyuka?

Kumbuka nimesema kuzidisha ni short cut ya kujumlisha.

7+ 0 is the same as 7 X 0.

So ukichukua hiyo milioni moja uliyoingiza Jana ukajumlisha na shilingi sifuri ambayo umeingiza Leo utabaki na shilingi sifuri?

1 milion + 0 itakuwa Sawa Sawa na Sifuri?

Mimi sikubaliani na Hilo.

Nasema Tena: 0 x namba yoyote jibu lake NI Sawa na Sifuri but ukichilia mbali sifuri, namba yoyote kuanzia moja uki ikizidisha na Sifuri jibu lake inakuwa ni hiyo number.

Kusema namba yoyote mara sifuri jibu lake ni sifuri is spiritually correct but mathematically wrong.

How is it correct...

Ur an evarage of five persons that Ur hanging out with the most of the time.

Una hang out na watu watano na wewe NI WA SITA.

So It is : 1+1+1+1+1+1 which is equal to 6.

So kupata evarage hapo utatakiwa upate jumla ya hizo namba and then ugawe Kwa SITA Kwa sababu namba zipo sita.

So 1 + 1 +1 +1+1+1 is equal to six. Six divide by six equals to 1.

So u will be one with those Ur hanging out with.

If Ur hanging out with loosers at the end of the day u will be a looser.

So kama wewe thamani ya mawazo yako ni one million. Halafu ukaanza ki hang out na watu ambao thamani Ya mawazo Yao ni Sifuri basi at the end of the day na wewe mawazo yako yatakuwa sifuri kama wewe.

The lAw of attraction which is a spiritual law will come into force.

Au kama wewe umeoa wake wanne halafu kampani yako ni watu ambao hawajaoa. Mwisho WA siku utajikuta na wewe hauna mke hata mmoja Kwa sababu you will be influenced by their life style
Jaribu kutumia makumi uone.. Mfano 70x7

Kwa maelezo yako happ juu kwa kutumia mfano huo je inapaswa kuwa
70x7= 77 au 7x70= 77

Je ni kweli 7 ziwe kwa idadi ya 70 ukizijumlisha zote zitakuwa 77 ??

Au 70 ziwe kwa idadi ya 7 na ukijumlisha zitadika 77 ??

Nazani nishaitimisha
 
gspain

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,773
2,000
Ukisema 7×0=0×0 maana yake unalzmisha 7 kua sifur kitu ambacho cyo sahh
Mathematically unaposema a×b = c×d haimaanishi kuwa a =c na b = d. The concept behind ni kuwa right hand side equals to left hand side kwa hiyo 7×0 = 0×0 is mathematically correct since LHS = RHS.
 
Huo n mfano bro ujajbu swal na mm naeza sema 1×2= 0.5×4
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom