Kwanini kila namba ikizidishwa mara sifuri jibu lake linakuwa sifuri? My answer is more spiritual than Mathematical

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,107
27,090
Utotoni tulifundishwa kuwa kila namba ikizidishwa mara sifuri jibu lake linakuwa sifuri.

Tukafundishwa zaidi kwamba sifuri ikizidishwa Kwa namba yoyote jibu lake linakuwa sifuri?

Is this correct?

0 x namba yoyote = 0 . Nakubaliana.

Kwa sababu multiplication is a short form of addition.

Mfano : 0 x 7
Ni Sawa na kusema ujumlishe sifuri mara saba.

Yani : 0+0+0+0+0+0+0
Hapa nakubali jibu lake ni sifuri.

But 7 X O kusema jibu lake ni sifuri Hilo nakataa sio kweli. It is not mathematical correct and it does not make any sense.

Kwa sababu 7 X 0 NI Sawa na kusema
7 +0.

Hivi leo ukipata shilingi milioni moja kwenye Duka lako halafu kesho usipate hata senti Tano so maana yake na milioni moja inayeyuka?

Kumbuka nimesema kuzidisha ni short cut ya kujumlisha.

7+ 0 is the same as 7 X 0.

So ukichukua hiyo milioni moja uliyoingiza Jana ukajumlisha na shilingi sifuri ambayo umeingiza Leo utabaki na shilingi sifuri?

1 milion + 0 itakuwa Sawa Sawa na Sifuri?

Mimi sikubaliani na Hilo.

Nasema Tena: 0 x namba yoyote jibu lake NI Sawa na Sifuri but ukichilia mbali sifuri, namba yoyote kuanzia moja uki ikizidisha na Sifuri jibu lake inakuwa ni hiyo number.

Kusema namba yoyote mara sifuri jibu lake ni sifuri is spiritually correct but mathematically wrong.

How is it correct...

Ur an evarage of five persons that Ur hanging out with the most of the time.

Una hang out na watu watano na wewe NI WA SITA.

So It is : 1+1+1+1+1+1 which is equal to 6.

So kupata evarage hapo utatakiwa upate jumla ya hizo namba and then ugawe Kwa SITA Kwa sababu namba zipo sita.

So 1 + 1 +1 +1+1+1 is equal to six. Six divide by six equals to 1.

So u will be one with those Ur hanging out with.

If Ur hanging out with loosers at the end of the day u will be a looser.

So kama wewe thamani ya mawazo yako ni one million. Halafu ukaanza ki hang out na watu ambao thamani Ya mawazo Yao ni Sifuri basi at the end of the day na wewe mawazo yako yatakuwa sifuri kama wewe.

The lAw of attraction which is a spiritual law will come into force.

Au kama wewe umeoa wake wanne halafu kampani yako ni watu ambao hawajaoa. Mwisho WA siku utajikuta na wewe hauna mke hata mmoja Kwa sababu you will be influenced by their life style.
 
Unalipwa mafao yako Tzs0 kila mwezi.
Baada ya miezi 12 utakuwa na shilingi ngapi?
Lazima uchukue ile 0*12=(0+0+0+0+0+0
......)=0.
Baada ya miezi 12 mafao yatakuwa 0.

Nikisema nitakupa Tzs100 kila mwezi. Wakati mwezi ukiwa bado haujaanza maana yake unakuwa kwenye 0. Sasa hiyo Tzs 100×mwezi 0 = itakuwa umeingiza shiling ngapi?
Jibu ni 0 kwa sababu mwezi bado hata mmoja.
 
Utotoni tulifundishwa kuwa kila namba ikizidishwa mara sifuri jibu lake linakuwa sifuri.

Tukafundishwa zaidi kwamba sifuri ikizidishwa Kwa namba yoyote jibu lake linakuwa sifuri?

Is this correct?

0 x namba yoyote = 0 . Nakubaliana.

Kwa sababu multiplication is a short form of addition.

Mfano : 0 x 7
NI Sawa na kusema ujumlishe sifuri mara Saba.

Yani : 0+0+0+0+0+0+0
Hapa nakubali jibu lake NI sifuri.

But 7 X O kusema jibu lake ni sifuri Hilo nakataa sio kweli. It is not mathematical correct and it does not make any sense.

Kwa sababu 7 X 0 NI Sawa na kusema
7 +0.

Hivi leo ukipata shilingi milioni moja kwenye Duka lako halafu kesho usipate hata senti Tano so maana yake na milioni moja inayeyuka?

Kumbuka nimesema kuzidisha NI short cut ya kujumlisha.

7+ 0 is the same as 7 X 0.

So ukichukua hiyo milioni moja uliyoingiza Jana ukajumlisha na shilingi sifuri ambayo umeingiza Leo utabaki na shilingi sifuri?

1 milion + 0 itakuwa Sawa Sawa na Sifuri?

Mimi sikubaliani na Hilo.

Nasema Tena : 0 x namba yoyote jibu lake NI Sawa na Sifuri but ukichilia mbali sifuri, namba yoyote kuanzia moja uki ikizidisha na Sifuri jibu lake inakuwa ni hiyo number.

Kusema namba yoyote mara sifuri jibu lake ni sifuri is spiritually correct but mathematically wrong.

How is it correct...

Ur an evarage of five persons that Ur hanging out with the most of the time.

Una hang out na watu watano na wewe NI WA SITA.

So It is : 1+1+1+1+1+1 which is equal to 6.

So kupata evarage hapo utatakiwa upate jumla ya hizo namba and then ugawe Kwa SITA Kwa sababu namba zipo sita.

So 1 + 1 +1 +1+1+1 is equal to six. Six divide by six equals to 1.

So u will be one with those Ur hanging out with.

If Ur hanging out with loosers at the end of the day u will be a looser.

So kama wewe thamani ya mawazo yako ni one million. Halafu ukaanza ki hang out na watu ambao thamani Ya mawazo Yao ni Sifuri basi at the end of the day na wewe mawazo yako yatakuwa sifuri kama wewe.

The lAw of attraction which is a spiritual law will come into force.

Au kama wewe umeoa wake wanne halafu kampani yako ni watu ambao hawajaoa. Mwisho WA siku utajikuta na wewe hauna mke hata mmoja Kwa sababu you will be influenced by their life style

Nahisi umelewa kabla ya kuandika huu uzi,

Unajuaa nini maana ya sifuri ? Ukijua hilo hata hutaweza kuhangaika tena !

Kusema 7x0 , this means 7 is not there always, even if you try to make it 7x0x0x0 , the same you will score.

Umefikili tu 7x0 cant be the same as 0x7 , why not thinking 10x12 is not the same 12x10 ??

7x0 = 0x7 = 0
 
Unalipwa mafao yako Tzs0 kila mwezi.
Baada ya miezi 12 utakuwa na shilingi ngapi?
Lazima uchukue ile 0*12=(0+0+0+0+0+0
......)=0.
Baada ya miezi 12 mafao yatakuwa 0.

Nikisema nitakupa Tzs100 kila mwezi. Wakati mwezi ukiwa bado haujaanza maana yake unakuwa kwenye 0. Sasa hiyo Tzs 100×mwezi 0 = itakuwa umeingiza shiling ngapi?
Jibu ni 0 kwa sababu mwezi bado hata mmoja.

Well said
 
Afu nyie watu mliokimbia umande mnalazimisha Sana kujua hesabu ukubwani

Haya tuanze hapa
7*0=0
Kwa maana ya summation inakuwa hivi
Kwanza namba 0 = nothing
So ziro ziwe Saba
0+0+0+0+0+0+0=0
Au maana nyingine 7 iwe ziro
7=nothing=0
Imeisha hiyo
 
Kuzidisha ni safari.

Toroli linabeba tofari kumi kwa safari

Hivyo toroli hilo litasomba tofari 100 kwa safari 10

Hapa kunavitu viwili

1:Tofari

2:Safari

Chochote kitakachokuwa sifuri hapo hatutopata idadi ya tofari zilizosombwa zaidi ya sifuri.

Mfano ukaweka tofari 10 katika torori lia likapeleka safari sifuri(halikupeleka) hivyo hakutakuwa na tofali lililofika eneo lengwa.
 
Kama kuna kitu unataka kukisema ila unakwama mahali, inafanya maelezo yako yote yabaki yanaelea.

Tukirudi kwa mfano wako kwa kuzingatia kanuni yako ya kuzidisha ni kifupi cha kujumlisha,

7×3=7+7+7=21
4×4=4+4+4+4=16
7×0=??????haiwezi kuwa 7+0
 
umefikiria sana tena sana
ila kuna shida kidogo inayokufanya ufikirie san jambo lisilo na usana ndani yake

umeshindwa jamo moja tu kulitambua
nalo ni hili
tofauti ya jumlisha na zidisha

hebu chukua kamusi hapo kaa chini tambua hizi maana kwanza ukijua utaona wap umekwama, baada ya hapo isome zero sasa na ujifunze

mda mwingine ni busara sana kuanza kutafuta some of data hata kupitia searching engine zozote upate utambuzi hii itakusaidia kujua maana ya mambo mengi kabla haujaweka suluhisho lakwako
 
Unalipwa mafao yako Tzs0 kila mwezi.
Baada ya miezi 12 utakuwa na shilingi ngapi?
Lazima uchukue ile 0*12=(0+0+0+0+0+0
......)=0.
Baada ya miezi 12 mafao yatakuwa 0.

Nikisema nitakupa Tzs100 kila mwezi. Wakati mwezi ukiwa bado haujaanza maana yake unakuwa kwenye 0. Sasa hiyo Tzs 100×mwezi 0 = itakuwa umeingiza shiling ngapi?
Jibu ni 0 kwa sababu mwezi bado hata mmoja.
Wazo zima la hesabu ni makubaliano ya watu wa hesabu ila uhalisia hakuna katika nukta nyingi.

Mstari wa kwanza kabisa rekebisha una makosa kimuundo na kimaana.

Ahsante.
 
Professor anaechipukia...
 
Wazo zima la hesabu ni makubaliano ya watu wa hesabu ila uhalisia hakuna katika nukta nyingi.

Mstari wa kwanza kabisa rekebisha una makosa kimuundo na kimaana.

Ahsante.
Mimi naona upo sahihi. Labda unioneshe palipo na tatizo.
 
Back
Top Bottom