Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,526
- 6,303
Umeona wakurya wawil tu umeanzisha uzi, Kwa hiyo tangia nchi hii ipate uhuru ma-IGP ni wakurya? Msukuka gani amewahi kuwa IGP? Kwl kanda ya ziwa mmelogwa na Magu na mkalogeka. Hamuoni ht aibu? Akili zenu zina funza> Ma-IGP tangia baada ya Muungano 1964 ni kama ifuatavyo:Hii imekaaje wadau Kila cheo jeshini ni Wakurya na Wasukuma tu?
Huko Polisi na Jeshi ni wakurya tu, wakifuatiwa na Wajita na Wasukuma?
Kulikoni? Kwamba Rais hakuona mikoa mingine ya kutoa IGP hadi iwe mara tu?
Km wanafit walikuwa wapi siku zote? Hicho cheo haijaanza jana wala juzi ni tangia baada ya uhuru. Makabila mengine mbona yametulia mnawashwa na nini? Tigo?Swala sio watu wa Mara na Wasukuma. Swala ni kua ndio watu wanaofit izo nafasi vizuri
Nyuma ya pazia sasaCCM ina laana,badala ya kuteua watu wenye weledi kama hawa, unateua Mapaka!🐒🐒🐒
View attachment 2298478
Hivi wakurya unawajua vizuri kweli mkuu?
- hakuna lolote wakurya wambea kibao tuko nao huku mitaani!
- Ni kwamba hawapendi shule, Kazi yenye afadhali Kwa wàsiopenda shule ni Uaskari!,Jiulize kwa nini watani zao Wahaya wengi Maprofesa huku wakurya wengi wanaishia kuwa maaskari!
Mkuu usijali huyu akistafu atakuja IGP unaemta kutoka Mbeya Tulia AucksonKulikoni? Kwamba Rais hakuona mikoa mingine ya kutoa IGP hadi iwe mara tu?
Matusi ya nini tena mkuuKm wanafit walikuwa wapi siku zote? Hicho cheo haijaanza jana wala juzi ni tangia baada ya uhuru. Makabila mengine mbona yametulia mnawashwa na nini? Tigo?
-Sasa hiyo thread uliyoleta ndiyo research inayoonyesha Wakurya ni Wasomi? hiyo si hata Mimi naweza nikaandika!Hivi wakurya unawajua vizuri kweli mkuu?
Labda nikusaidie kukupa records za hao jamaa.
Shule ipo sana kule kuliko hata hao unaowasifia.
Mikoa Kumi(10) iliyotoa wasomi wengi zaidi nchini
Nilikuwa nasoma sehemu moja ya utafiti mikoa kumi iliyotoa wasomi wengi zaidi nchini 1.MKOA WA MARA huu umeshika nafasi ya kwanza ambao unapatikana kanda ya ziwa kwa kutoa wasomi wengi zaidi ambapo mkoa wa mara wanapatikana WAGITA,WAJALUO, WAKURYA NA WAZANAKI ambao kwa kiwango kikubwa ni jamii...www.google.com
Jeshi toka enzi za Nyerere lina watu wathubutu ambao ni wa Kanda ya Ziwa, walitangulia kujaa jeshini, hata huko Zanzibar ni wao na Wala si dhambi, wewe unateseka nini? Unategemea mdigo, msambaa, mkwere,mdharamo jeshini na akavumilia msoto mpaka ajae nyota mabegani?Hii imekaaje wadau Kila cheo jeshini ni Wakurya na Wasukuma tu?
Huko Polisi na Jeshi ni wakurya tu, wakifuatiwa na Wajita na Wasukuma?
Kulikoni? Kwamba Rais hakuona mikoa mingine ya kutoa IGP hadi iwe mara tu?
Umemjibu sawia kabisaSwala sio watu wa Mara na Wasukuma. Swala ni kua ndio watu wanaofit izo nafasi vizuri
Umeweka mifano halisimwema-mchaga.
mahita-mpogolo
mangu-mnyiramba
mwamunyange-mnyakyusa.
mabeyo-msukuma.
Hao ndio wanaume walioenda jando, wengine ni rojorojo Sana.
mwema-mchaga.
mahita-mpogolo
mangu-mnyiramba
mwamunyange-mnyakyusa.
mabeyo-msukuma.
Kuna mengi zaidi yanaweza ibukaHii imekaaje wadau Kila cheo jeshini ni Wakurya na Wasukuma tu?
Huko Polisi na Jeshi ni wakurya tu, wakifuatiwa na Wajita na Wasukuma?
Kulikoni? Kwamba Rais hakuona mikoa mingine ya kutoa IGP hadi iwe mara tu?
Au Haruni Mahundi na Aziz Ally walikua wasukuma?Aliekwambia kuwa Omary Mahita ni mtu wa Mara ni nani?
Acha kudanganya Jack Zoka ni mwikizu familia yake kwa maana ya ndugu zake akiwemo marehemu samson Zoka ni bunda mjiniZack zoka - Mndengereko