Hii imekaaje wadau Kila cheo jeshini ni Wakurya na Wasukuma tu?
Huko Polisi na Jeshi ni wakurya tu, wakifuatiwa na Wajita na Wasukuma?
Kulikoni? Kwamba Rais hakuona mikoa mingine ya kutoa IGP hadi iwe mara tu?
Umeona wakurya wawil tu umeanzisha uzi, Kwa hiyo tangia nchi hii ipate uhuru ma-IGP ni wakurya? Msukuka gani amewahi kuwa IGP? Kwl kanda ya ziwa mmelogwa na Magu na mkalogeka. Hamuoni ht aibu? Akili zenu zina funza> Ma-IGP tangia baada ya Muungano 1964 ni kama ifuatavyo:
1.Elangwa N.Shaidi(1964-1970)
2.Hamza Aziz (1970-1973
3.Samwel H. Pundugu (7/8/1973 – aug 1975)
4.Philemon N. Mgaya (8/8/1975 – Nov 1980)
5. Solomon Liani (1/12/1984 – 3/5/1996)
6. Omary Maita ( 4/5/1996 hadi 2/3/2006)
7.Saidi A Mwema (3/3/2006 – 30/12/2013)
8.Ernest Mangu ( 01/01/2014 – 29/05/2017)
9.Simon Sirro (29/05/2017 - 20/07/2022)
10. Camilius M. Wambura (20/07/2022 - mpaka sasa)
Tatizo lenu ni washamba mnashanga vitu vidogo sana sijui ulikuwa unataka kujenga hoja gani. Niambie hao wote ni Wakurya? Kuna wasukuma wangapi kwenye hiyo list? Na je Mjita ni nani? Mngetoaga mawaziri wakuu kama kanda ya kaskazini mngekuwaje? Mngekuwa mnajinyea hadharani? Mleta uzi unajiaibisha na unaaibisha kabila lako na kanda ya ziwa yote. Tunawaambiaga nyie ni washamba hamuelewagi kwanini, vichwa vyenu vina kwashiakor?