Kwanini kila IGP anatoka mkoa Mara tu?

Kwanini kila IGP anatoka mkoa Mara tu?

Hii imekaaje wadau Kila cheo jeshini ni Wakurya na Wasukuma tu?

Huko Polisi na Jeshi ni wakurya tu, wakifuatiwa na Wajita na Wasukuma?

Kulikoni? Kwamba Rais hakuona mikoa mingine ya kutoa IGP hadi iwe mara tu?
Kanda ya ziwa ndiyo kuna watu wenye akili na uzalendo, kanda zingine ni uvivu na wizi ndiyo vimejaa
 
Kiasili hayo ni makabila Yenyewe msimamo sana hasa kwenye uongozi, na hawatoi siri hovyo hovyo
  • hakuna lolote wakurya wambea kibao tuko nao huku mitaani!
  • Ni kwamba hawapendi shule, Kazi yenye afadhali Kwa wàsiopenda shule ni Uaskari!,Jiulize kwa nini watani zao Wahaya wengi Maprofesa huku wakurya wengi wanaishia kuwa maaskari!
 
Kanda ya ziwa ndiyo kuna watu wenye akili na uzalendo, kanda zingine ni uvivu na wizi ndiyo vimejaa
  • Hawapendi shule ndiyo maana wanakumbilia uaskari, hawana reasoning wanapenda kutumia nguvu bila akili Watu WA Mara
  • Kanda ya ziwa Wenye akili ni Wahaya tu
 
Katika historia ya Jeshi la Polisi ni MAIGP WAWILI TU NDIO WAMETOKA MKOA WA MARA.

SIRRO na WAMBURA.

Kama yupo mwingine mtaje.
 
1. ELANGWA SHAIDI
2. HAMZA AZIZI
3. SAMWEL PUNDUGU
4. PHILEMONE MGAYA
5. SOLOMON LIANI
6. HARUN MAHUNDI
7. OMARI MAHITA
8. SAID MWEMA
9. ERNEST MANGU
10. SIMON SIRRO
11. WAMBURA
 
Ndg yangu mtoa mada, Vyeo vya Kijeshi havitolewi kwa ajiri ya kuwafurahisha raia/watu, bali ni kwa merit na seniority. So, Kama wewe unakaa na kukuna nazi na kusukuma chapati nani akuteuwe kuwa Mkuu wa Jeshi lolote hata la Sungusungu...
nimecheka sanaaaa
 
Hii imekaaje wadau Kila cheo jeshini ni Wakurya na Wasukuma tu?

Huko Polisi na Jeshi ni wakurya tu, wakifuatiwa na Wajita na Wasukuma?

Kulikoni? Kwamba Rais hakuona mikoa mingine ya kutoa IGP hadi iwe mara tu?
Murillo =moto tafsiri kwa kikurya
 
Back
Top Bottom